Hata kama Hupendi Ukweli Mchungu No. 3

Hata kama Hupendi Ukweli Mchungu No. 3

Joined
Jan 23, 2015
Posts
14
Reaction score
6
Habari ndiyo hiyo!
attachment.php
 
Attachments

  • UM.jpg
    UM.jpg
    55.2 KB · Views: 1,482
Mwanaume anaweza akawa na mwanamke anaye mpenda sana lkn bado akachepuka. Na mwanaume anayempenda mwanamke wake utaona kwa vitendo vyake kwa huyo mwanamke.

Vitendo vipi yani unanipenda halafu uchepuke wewe hunipend aisee!!!
 
Naweza kukupenda sana lakini ukawa si mstahimilivu katika mambo ya ndani na kwakuwa nakupenda inabidi nikaibe kidogo chap halafu nije kwako wangu wa moyoni
 
skfull Ahhhaaa!! Mi sitaki bana ukaniibie!! Mimi sera yangu ni hivi mimi na we tumegombana ila kinu na mtwangio hawajagombana hapa,uniibie kwa lipi?
 
Last edited by a moderator:
Vitendo vipi yani unanipenda halafu uchepuke wewe hunipend aisee!!!

Nikikupenda nitafanya kila lililo ndani ya uwezo wangu ufurahi na nikutimizie mahitaji yote. Hata kuiba nitaiba ili nikutimizie mahitaji yako na ufurahi. Litakapo kuja suala la kuchepuka siyo lazima ila nikitereza haitamaanisha sikupendi everlenk.
 
Mhhhhh!!! Haya!! Vipi na mimi nikichepuka si itakuwa na maana hiyo hiyo pia eti Ukweli Mchungu??
 
Last edited by a moderator:
Mmmh, mwanamke mkarimu wewe! Kuna siku utakaribisha malaika... Mie mzima.
^^

Oh!! Au umesahau kwamba wewe ni malaika kwangu(hivi malaika ni wa kike au kiume?) osh!! vyovyote vile sema neno moja tu na moyo wangu utafurahi........nafurahi kukusikia u mzima.
 
Back
Top Bottom