Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nimekuja kwenu wanajamvi kutaka ushauri kutoka kwa kila mmoja wenu. Ni kwamba kuna demu nilikutana nae hapa town Dar es salaam mwaka juzi wakati yeye amemalza chuo UDSM.Sasa kiukweli nilimtamani...
0 Reactions
106 Replies
11K Views
Msifanye mapenzi mkiwa na: 1. Stress 2. Homa/malaria au ukiwa unaumwa kichwa. 3.wasiwasi/hofu. 4. Njaa/au ukiwa umeshba sana.. Endapo ukihtaji mapenzi kutoka kwa mkeo ukiwa na mojawapo au...
0 Reactions
21 Replies
10K Views
Unaweza kushangaa na kujiuliza maswali mengi maana kuchepuka si jambo jema.Yeye kanipongeza kutokana na kwamba nimeweza kuwahi nyumbani pamoja na kwamba ijumaa kunakuwa na foleni ndefu ya magari...
2 Reactions
63 Replies
9K Views
Poleni wadau. Nina swali moja nataka kuuliza kwa wanajamvi,hivi mapenzi yana chuja na kwa nini yachuje. Nauliza hivi sababu rafiki yangu analalamika every day mpenzi wake kabadilika. Mpaka...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Unakuta mwanaume anampeleka mchepuko nyumbani kwake anapoishi na mkewe tena wanabanjuka kitandani anapolala mkewe. Haya si matusi jamani na dharau au ufahari kwa wengine,acheni hizo wanaume...
1 Reactions
38 Replies
5K Views
Binadamu haishiwi maharifa kwa kweli. Mara nyingi nimekua najiuliza hivi hawa walinzi wanapata muda kweli wa kushiriki tendo la ndoa ukizingatia makampuni mengine hayana rotation yaani kila siku...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Habari zenu jamani, kuna dada mmoja nilimpenda sana tukiwa form 4, nilivyojaribu kumuambia akaniambia nisubirie tumalize shule, Na mimi nikamuelewa kwa sababu nilikuwa na malengo yangu...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu heshima mbele nimekuwa napata ofa za mabarmaid kila ninapoenda kupata moja baridi katika baadhii ya bar ninazopenda kunywa. Huwa sizipendi ila unakuta wanaleta wanalazimisha kufungua na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kunamambo napenda tuyazungumze kwa wale waliondani ya ndoa ili tuimalishe ndoa zetu pia hii itawasaidia hata wale wanaotaka kuingia au kuanza mahusiano wadumu kwenye ndoa zao: 1.Nijinsigani...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Hbr kwa ujumla nimeona nililete kwa wanawake ili tuongez umakin kucha ni urembo mzur lkn pia unamadhara hasa wkt wa kujisafisha sehem nyet endapo utaingiza kidole na kwa bahat mbaya ukaleta...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Kuna jamaa yangu kaniomba ushauri bado sijamjibu hebu nawe nisaidie " yeye siku moja alikuwa anatizama picha alizo post mkewe katika instagram akakuta karibu watu wake wote wakaribu picha zao...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Sina nia ya kueneza hofu na woga ila kwa sisi watu wazima wenye watoto wadogo umri kuanzia siku moja miaka mitano ni vizuri tuchukue tahadhari. Tujue kwamba tunaishi kwenye jumuiya ya watu wenye...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ni wajibu wa mwanaume kumheshimu mwanamke lakini ni kazi ya mwanamke kumpa mwanaum kitu cha kukiheshimu kwake…
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna kamsemo alisema Robert Mugabe (Zimbabwean Presiden): "Sometimes you look back at the girls you spent money on instead of sending it to your mum and realise witchcraft is real" In direct...
4 Reactions
38 Replies
3K Views
Habarini. Mimi ni kijana nina miaka 40 nina watoto wakiume watatu ni mfanyakazi wa serikali na pia ni mfanyabiashara, niliachana na niliyezaa nae miaka miwili iliyopita. Tulishindwana na bahati...
1 Reactions
58 Replies
6K Views
Mimi ni mwanaume natafuta mke mwenye makalio ya haja maana ndo ugonjwa wangu, pia kifua kisiwe kikubwa sana cha wastani. kama upo tayari njoo pm nikuweke ndani. Mwaka mpya na mambo mapya. umri...
0 Reactions
33 Replies
8K Views
Ilikuwa juzi kwenye heka heka za kusheherekea pasaka mimi na demu wangu. Maeneo ya barabara ya chuo kikuu (UDSM) inayoelekea changanyikeni nikawa nimepaki gari pembeni kidogo na barabara siku...
6 Reactions
228 Replies
24K Views
Haya haya kumekucha,ile siku ya wapendanao imekaribia.Kwa wenye mapenzi ya msimu na matukio maalum muda wenu wa kuumiza vichwa kwa ajili ya zawadi na namna ya kutoka. Kwa wale wenye mapenzi ya...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Relationship statuses explained: Married: one who is united to a person of the opposite sex as husband or wife in a consensual and contractual relationship recognised by law. Separated: when...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…