kwangu mimi harusi ni baraka ndani ya nyumba ya ibada, mambo ya sherehe na michango binafsi naona ni upuuzi na ulimbukeni
MAdeni si yanakuwa ya familia? Mwanamke anaepuka vipi hapoWanawakendio wanapenda hayo maharusi kwa asilimia kuubwa..ati wanashindana na wale wenzao kulee..ila baada ya sherehe wanaume wanabaki na madeni makubwaa sana..BADILIKENI
Nawaona watu jinsi ambavyo majasho huwatoka kukimbizana na vikao na michango. Wengine wameishi miaka na wana watoto lakini sherehe inavyoandaliwa utadhani wana mwaka mmoja wa kufahamiana. Vitu vingine ni headache tu. Au ni kamradi fulani?