IlangiKwetu
Member
- Oct 9, 2014
- 85
- 33
Heshima mbele wakuu.
Naomba kujua toka tarehe ya kujitambulisha na kupangiwa mahali. Unachukua muda gani mpaka kuipeleka mahali ukweni
maana nataka kutolewa roho kipande hiki.