Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,809
- 140,807
Tanga waja leo waondoka leo,inasemekana ndiko mapenzi yalipozaliwa.
Huku bara kijana aliyeoa mtoto wako wa kike tunamwita Mkwe.Ila kwa Tanga wanaita "Mkaza Mwana".Ni hayo tu wakuu,ukiitwa namna hiyo using'oa majicho.