Kinachoniuma si kunicheat, bali kumpa kile unachoninyima mimi

Kinachoniuma si kunicheat, bali kumpa kile unachoninyima mimi

Majigo

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
5,519
Reaction score
1,831
Hii sio haki kabisa. Kwangu anabana. Eti mpaka ndoa. Kumbe kuna boya linakula wakati mimi nawekewa vimulimuli. Yaani unaweza ukaua mtu hivi hivi na usijutie Lolote.
 
huna hela weye ndo maana unabaniwa na utaendelea kula kwa macho wajanja wanagonga kote kote!
 
Hii Sio Haki Kabisa
Kwangu Anabana....Eti Mpaka Ndoa ...Kumbe Kuna Boya Linakula Wakati Mimi Nawekewa Vimulimuli
Yaan Unaweza Ukaua Mtu Hivihivi Na Husijutie Lolote

Pole sana!
 
Sio utani inauma sana. Na hyo ndio tabia ya wanawake wengi,,,
ukiona mwanamke wa hivyo haina haja ya kuweka kambi hapo.
Hapo na ww ni kumfariji tu kuwa utamuoa ikibidi peleka hata posa kwao lakn wakat huku ww ukitafuta mke mwingne wa kuishi naye. Siku ya siku anashtukia mwenziye yuko ndani. Unamwambia tu nilichoka kukaa na ugwadu wakat wenzangu wanapewa bure tena bila mashart
 
huna hela weye ndo maana unabaniwa na utaendelea kula kwa macho wajanja wanagonga kote kote!

Acha Waoe Wao
Maana Ndoa Ni Teule Kwa Wenye Hela
kwani Kuwa Na Hela Kuna Kipimo Gani
Unakuta Mimi Ndo Nahudumia Pakubwa KuzidI Huyu Boya Mla Kote Kote
 
Tengeneza yako ule yako mwenyewe kwani lazima ule ya mtu.
 
Acha Waoe Wao
Maana Ndoa Ni Teule Kwa Wenye Hela
kwani Kuwa Na Hela Kuna Kipimo Gani
Unakuta Mimi Ndo Nahudumia Pakubwa KuzidI Huyu Boya Mla Kote Kote
Wala asikupe presha, hicho ni kipimo tosha kuwa hawezi kuishi na wewe. Kama mlikaa mkapanga kutofanya mapenzi kabla ya ndoa au yeye ndo alisema hataki kufanya Mapenzi, then huyu huyu anakuzunguka..hafai hata kidogo. Hao wanaosema huna pesa wala wasikuumize kichwa, ni wangapi hapa Tz wana hizo pesa zinazosemwa? Mbona kila j'mosi, j'pili na ijumaa watu wanaoana...!
 
Hii Sio Haki Kabisa
Kwangu Anabana....Eti Mpaka Ndoa ...Kumbe Kuna Boya Linakula Wakati Mimi Nawekewa Vimulimuli
Yaan Unaweza Ukaua Mtu Hivihivi Na Husijutie Lolote

mmmm just like that? uue kisa? achana nae kwa ulizaliwa nae??? ua sasa uone kama segerea panakuogopa
 
Sasa kama umegundua hilo waendelea nini kung'ang'ana?
 
mmmm just like that? uue kisa? achana nae kwa ulizaliwa nae??? ua sasa uone kama segerea panakuogopa

Kirahisi rahisi tu wakati ashakula vyangu bora kuua nakubaliana na mtoa mada
 
huna hela weye ndo maana unabaniwa na utaendelea kula kwa macho wajanja wanagonga kote kote!

Hahaaaaaaa nimemuwekea hapo ka verse hapo chini pengine katamsaidia kimtindo
 
Attachments

  • 1418271689472.jpg
    1418271689472.jpg
    18.7 KB · Views: 735
Hahahahaha.....pole mtoa mada wadada wengine washenzi aisee mi nadhani labda we hakupendi na hana future na wewe vinginevyo asingekunyima af akagawe kwingine
 
Hahahahaha.....pole mtoa mada wadada wengine washenzi aisee mi nadhani labda we hakupendi na hana future na wewe vinginevyo asingekunyima af akagawe kwingine

Nakupenda laazizi wangu. Hata kama unamgawia Ntuzu mi sijali.
 
Last edited by a moderator:
Pole na we mmege Dada wa huyo aliyekuimbia..Haipunguzi maumivu Ila inaleta heshima
 
Boya yeye au wewe? wabongo kwa kujifariji! unakaa na wife kibarazani anapita jirani na gari wife anakwambia baba flani jirani kanunua gari wewe unarahisisha "majizi hayo usiyaone hivyo.

Kama Vp Amuoe Yeye..si kanifanya Mimi Zege...Nasema Aoe Yeye Basi.... Aah!
 
Back
Top Bottom