Jamani naombeni msaada wenu kwa nyie hasa mliotangulia kuingia kwenye mambo ya ndoa.
Ni kwamba nina mke ambaye ni kama miezi 7(saba) niko naye lakini ni kama mwezi mmoja sasa sijisikii kufanya...
Za leo ndugu zangu, eti inakuwa vipi unakutana na mtu hapa kwenye JamiiForums mnaanza mawasiliano siku ya kwanza tu hata hamjaonana mtu anaanza kuongelea mambo ya ngono.
Hawa wenye tabia hii...
Wanaume hatufanani kuanzia sura mwendo na hata tabia lakini sio hayo tu, kama binadamu wengine wote tukiugua
unaweza kuwa na Malaria 10 ukawa husukii hata dalili moja na mimi nikawa na 2 tu nikawa...
Habari wana Jamii forums.
Mimi niina miaka 26 ninafanya kazi za imformation technology, nahitaji mke wakuishi nae vigezo ni awe na kazi yeyote awe anaishi kaskazini yeyote alie tayari ani pm.
Kwa kweli mapenzi yangu na yeye yaliaanza kama utani, kama kuna limbwata basi huyu msichana aliniwekea limbwata ya kiwango cha juu.
Niliachana na mpenzi wangu aliyekuwa na adabu na heshima...
Nimekuwa nikishuhudia watu wa jinsia ya kiume wakishambuliwa kwa kuitwa majina kama domo zege, huko mtaani hujaona n.k. kwenye jukwaa la MMU (Love connect). Baada ya kupost kuwa anatafatufa mke...
Hii naona inawatokea sana watu wanaishi pamoja ambao hawajafuna ndoa,wanaume wengi wamekuwa wakilalamika kuharakishwa kufunga ndoa hata kama hawajajipanga.
Mtu wangu mmoja alinilalamikia kwamba...
habari za hapa,
mimi ni binti age 26yrs nafanya kazi ktk kampuni fulani hapa Dar, nina mchumba wangu tulipanga kuoana tangu mwaka jana nilipopeleka taarifa home wazazi wakawa wagumu kwa sababu...
Leo nimekuja na mada nyingine, kama kawaida ni mada nzuri itakayokupa ufahamu mpya juu ya maamuzi yako yahusuyo mapenzi. Hivi ni kweli kwamba unautendea haki moyo wako? Mpenzi uliyenaye unampenda...
Habari ndugu zangu.
Mimi kuna msichana tuko naye karibu mpaka inafika hatua ya mi kulala nae kitanda kimoja bila ya kufanya mapenzi anabaki kama just friand.
Sasa naomba ushauri huyu demu...
Hatupendi kuachana kwa mabaya katika mahusiano ila mtoto aliyezaliwa kwenye mahusiano mapya hivi ni sahihi kupewa jina la aliyekuwa mpenzi wa zamani, obviously is allowed but is it right.
Wabari wana Jamii forums.
Mimi ni kijana mwenzenu age yangu kati ya 25-30 nimekuwa nikitafuta mwanamke ambaye naweza kutengenezea nae mahusiano ya kweli yatakayo tupeleka kwenye ndoa.
Lakini...
Mimi ni kijana jinsia ya kiume hahitaj mwenza nimwajiriwa katika taasisi ya kiserikali nafasi ya office attendant mwenza pia aanzie kidato cha nne elimu yake.
Nawasilisha.
Hali zenu wana MMU?
Kuna jambo nashindwa kulielewa, mdogo wangu aliolewa na jamaa ambae hata kazi alikua hana tukamsaidia kumpa mtaji mpaka mambo yake yakawa sawa, alipopata vijisenti akamjeuri...
NB: Elimu haikua kigezo kwangu na wala sikuwahi kufikilia kuja kumnyanyasa nitakae mpenda sababu ya elimu.
Kipindi hiki chote cha kuomba na mengine yule kaka sikua na mawasiliano tena kwa muda...
During America's most popular TV event, the Superbowl, one much-anticipated advertisement featuring supermodel Adriana Lima painted a pretty sad state of affairs with regards to love.
In an ad...
Habari wana Jamii forums.
Mimi na wakuu wengine wengi this valentines tupo single, bwana hebu tupeni ideas on what to do to make it special
kumbuka valentines sio kwa wapenzi pekee yake...
Poleni na kazi wana Jamii forums.
Imewahi nitokea mara mbili. Mpenzi wangu ananiuliza kama najua kiasi cha mahari yangu au itakuwa ina range kwenye sh.ngapi.
Huwa najiuliza maswali mengi...
Nyumba za kupanga kuna mambo. Jana usiku jamaa karudi home na msichana wa kazi ambaye katumiwa na ndugu zake kijijini.
Asubuhi hii full kindumbwe ndumbwe mke kamaind full ugomvi eti huyo ni mke...
Habari wadau.
Nina mpenzi wangu tulianza mahusiano tangu tuko O level, chuo mpaka sasa tupo makazini tuna miaka 9 kwenye uhusiano mpaka sasa na wote tuna umri sawa miaka 28. Tatizo kuna vitu...