Namtafuta rafiki[mwanamke]

Namtafuta rafiki[mwanamke]

Jmujun

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2015
Posts
965
Reaction score
525
Napenda niwe karibu kimawasiliano sana na mwanamke, umri 18-25. Sijali elimu kikubwa awe mwenye heshima.
 
Siki zote huwa tunamtafuta mtu tunaejua.

Huwa tunatafutq mtu usiemjua kwa lengo fulani, ww umesema unamtafuta rafiki mwanamke, mlipotezana wapi???
 
Siki zote huwa tunamtafuta mtu tunaejua.

Huwa tunatafutq mtu usiemjua kwa lengo fulani, ww umesema unamtafuta rafiki mwanamke, mlipotezana wapi???

Haha tulipotezana jana valentine day kulikuwa na jam ya watu sana.
 
Back
Top Bottom