KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 20,138
- 40,895
Hakuna asiyejua kuwa mapenzi ndio yana run dunia,Hakuna asiyejua utamu wa mapenzi kutoka kwa yule umpendae kwa dhati kutoka moyoni.
Hakuna asiye jua jinsi gani ilivyo raha kupendwa ,kujaliwa na kuthaminiwa na kuheshimiwa na yule ambaye moyo wako umemchagua kati ya wale wengi.
Ninacho wahusia wapendwa ni kuwa tuichukulie siku hii muhimu na maalumu kuwaonyesha mapenzi ya hali juu wale wapendwa wetu,tuitumie siku hii muhimu kuzika tofauti zetu za kimahusiano na tufungue ukurasa mpya wenye furaha na amani,tuitumie siku hii kuyazika mabaya yote ya nyuma yaliyopelekea malumbano hata kupelekea kutaka kuyavunja mahusiano yetu na kuyaanza maisha mapya.
Tuitumie siku hii kuwaonyesha wapendwa wetu ni jinsi gani tuliumizwa na mabaya tuliyowatendea na tunatujutia na kuahidi kuwa hatutorudia tena kuwaumiza kwani wao ni muhimu sana kwetu na ni sehemu ya maisha yetu tukumbuke wapendwa wetu sikuzote wanaishi ndani yetu.
...Happy Valentine day...