Message anajibu lakini simu hapokei, huyu atanikubalia kweli?

Message anajibu lakini simu hapokei, huyu atanikubalia kweli?

ze jj

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2012
Posts
522
Reaction score
630
Habari usiku wana MMU.

Kuna binti mmoja hapa chuoni kwetu nimetokea kumpenda najaribu kumsogeza karibu kwa njia ya mawasiliano. Watsaap anajibu tena kwa kifupi lakini nikimpigia hapokei kabisa. Najiuliza atanikubali kwa mtindo huu au ananidangnya tu.
 
Unamfahamu physically?Maana mashoga ndo wana hizo tabia,ukiona hivyo kimbia!
 
Kumekucha niamke mie…. Wewe kama simu hapokei huyo hakutaki. Hakutaki. Hakutaki soma tu ufaulu upate kazi nzuri upate hela. Wapo wengi. Hakutakiiiiiiiiiii (discouraging words hizi)
 
za usiku wana MMU . kuna binti mmoja hapa chuoni kwetu nmetokea kumpenda najaribu kumsogeza karibu kwa njia ya mawasiliano. watsaap anajibu tena kwa kifupi lakini nkimpigia hapokei kamwe . najiuliza atanikubali kwa mtindo huu au ananirusha tu

Tena Atakubal Ki Urahs, Kwa Sasa Msg N Kama Barua Zaman, N Rahs Kukubal Kw Msg Inafcha Aibu,
 
Atakubal, Msg Huficha Aibu We Mtext, Bila Shaka Unamfaham.
 
Tena Atakubal Ki Urahs, Kwa Sasa Msg N Kama Barua Zaman, N Rahs Kukubal Kw Msg Inafcha Aibu,

Umemaliza shule ya kata? Huu uandishi wa kishenzi sana huu.. Unakatisha katisha maneno as if unakunya barabarani unaogopa kuonwa..ukome kabisa
 
Mtumie fifty m pesa. Afu utupe mrejesho
 
za usiku wana MMU . kuna binti mmoja hapa chuoni kwetu nmetokea kumpenda najaribu kumsogeza karibu kwa njia ya mawasiliano. watsaap anajibu tena kwa kifupi lakini nkimpigia hapokei kamwe . najiuliza atanikubali kwa mtindo huu au ananirusha tu

Maskini domozege!
 
Huenda ashajua kuwa hujui kutongoza so anaogopa kupoteza mda wake. Rudi ukajifunza kuongea na mwanamke afu umtokee tena!
 
Back
Top Bottom