Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,522
- 14,005
Habari zenu wadau.
Nimeiona kauli mbiu ya maadhimisho ya Valentine's day 2015,"mapenzi pesa maua mpelekee nyuki atengenezee asali ,kadi peleka kliniki"
Je wewe unaizungumziaje hii kauli mbiu ya mwaka huu.