Mkulima na Mfugaji
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 1,056
- 1,868
Mimi ni kijana nina ndugu zangu tunakutana kwa baba ambao ni 7 wakike 5 wanaume ni 2 mimi mama yangu amefariki nikiwa na miaka 5 nimelelewa na ndugu tofauti.
Nilipofikia umri wa kuanza shule baba yangu alinichukua ili niwe nae karibu,lakini mateso niliyokuwa nayapata kwa huyu mama hayaelezeki.
Baba yangu alikuwa ananipenda kuliko watoto wake wote kwa sababu ndio nilikuwa mtoto wake wa kiume mkubwa.Nilipofika darasa la nne baba yangu mdogo alinichukua baada ya kuona mateso yamezidi na pia baada ya mkewe kumshauri kufanya hivyo.
Kwa kweli pale kwa baba yangu mdogo nilikaa kwa raha yule mama yangu mdogo alinilea kwa upendo wote,nimesomeshwa mpaka namaliza chuo,kwa kweli mungu amuweke huyu mama ili afaidi mafanikio.
Lakini nikaamu kurudisha mahusiano kwa mama yangu wa kambo na ndugu zangu si unajua damu nzito.Lakini kitendo alichofanya huyu mama ndicho kinachokata mahusiano rasmi mimi na yeye.
Kwani amemshawishi baba yangu kagawa mali kwa ndugu zangu bila kunishirikisha mimi.Kwa kweli imeniumiza sana,nimemueleza mama yangu mdogo kwa kweli machozi yamemtoka.
Ushauri: je, nifanyeje na pia mimi ndo nimepata bahati ya kusoma ndugu zangu wote wamekataa shule.