JF ni mambo yote nimepata mume hapa jamani nashukuru

ma jery

Senior Member
Jun 15, 2011
171
64
Nimepata mwenza hapa jf tunafunga ni mwanaume wa aina yake ndoa tar 28/11/2011
niko na kaujauzito ka mwezi
nashukuru sana jf
nitawatumia kadi baadhi siku ikifika
karibuni sana

ni ushuhuda wa kweli
 

mzabzab

JF-Expert Member
Aug 18, 2011
27,372
41,192
duh! aibu!
yaani hamjachelewesha abo jamaa kishadumbukiza bege zake...safi sanaaaaaaaa
 

Bishanga

JF-Expert Member
Jun 29, 2008
15,323
9,965
Nimepata mwenza hapa jf tunafunga ni mwanaume wa aina yake ndoa tar 28/11/2011
niko na kaujauzito ka mwezi
nashukuru sana jf
nitawatumia kadi baadhi siku ikifika
karibuni sana

ni ushuhuda wa kweli

Hongereni sana kwa ndoa tarajiwa na kwa ujauzito.Mkipata ka baby boy kaiteni Bishanga Abashaija,kakike mwombeni Aspirin akapatie jina.
 

Laurence

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
3,104
418
Hongera dada kwa kumpata mkuu na endeleeni kumkuza vema huyo alietumboni,all the best.
 

Shantel

JF-Expert Member
Feb 7, 2011
2,018
1,108
Ina maana miezi sita mshafanya maamuzi mazito hivi, au ndo love at the first site?
hongereni sana jf ni kisima cha kila kitu
 
3 Reactions
Reply
Top Bottom