WABALLA Inc
JF-Expert Member
- Sep 2, 2014
- 2,711
- 1,018
Habari wana MMU.
Jana ilikuwa siku ya wapendanao kama wengi wanavyoiita,maalufu kama Valentines day.Binafsi siku hii huwa sina muda nayo kwani sioni la maana katika maadhimisho yake.
Nina rafiki yangu ana msichana/mpenzi wake.Tangu juzi binti alimuaga jamaa kuwa anaenda kijijini kumsalimia bibi yake anaumwa.Jana usiku jamaa anakatiza mitaa akamuona "my love" wake yupo na njemba.
Wanakula ujana,mshikaji amechanganyikiwa kwani alikuwa na future plans na yule dada. Ameshamnunulia kiwanja, alikuwa ameshaanza kumuinulia,sasa ni mshike mshike.
Kupenda si kazi kazi nikumpata anayekupenda.