Habarin wapendwa...!
Kuna suala linanitatiza, kuna mdada nlikuwa nafukuzia miez kadhaa iliyopita na nlikuwa na lengo naye zuri tu ila akanikatalia, cha ajabu ameanza kunipigia simu muda mwingi umepita na mim nina mchumba tayar nimemuambia anielewi, Naomba kwa aneyfahamu anielekeze jins ya kuiblock namba yake ili asinipate kabisa