Hivi wanatongozaje kwa kutumia pesa?

Hivi wanatongozaje kwa kutumia pesa?

lee Vladimir cleef

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
9,571
Reaction score
35,484
Asalaam aleikhum wadau wa MMU.

Huwa najiuliza bila kupata majibu,nimesikia wengi wakisema "hapendwi mtu inapendwa pochi" na maneno kama mwanamke anaangalia pesa ya mwanaume sio sura".Hapa ndipo ninapopata shida.

Je ukimtaka mdada kwa kutumia pesa unamwita halafu unampa pesa kisha atakupa "utamu"au unamwomba kwanza Utamu akikataa ndo unaidhinisha ruzuku.

Kitu nisichojua unatongoza kwanza ukikataliwa ndo unaingiza nguvu ya pesa, au unaingiza nguvu ya pesa kwanza baadae ndio unaomba tunda.

Na je kama ukitoa pochi kwanza alafu mtu akala afu asitoe utamu utafanyaje. Sio utani ni jambo ambalo linanichanganya sana.

Nisaidieni tafadhari.
 
mwe njoo ujaribu kwangu.niite halafu nipe pesa halafu niambie nakupenda sana...au nitumie kwa mpesa
 
Ni shida aiseh hata pesa inaanza kugonga mwamba hadi watu waj kutafuta maujuzi, kamuulize brazamen aliyeanza mtongoza Jack Wolper, Jamaa aliwapa wapambe BMW X6 wampelekee wakati hata hawajuani wala hawajawahi kuonana.
 
Pesa + Convincing Power la sivyo papuchi utaisikia Katika Bomba tu.Huku ukipiga nyeto na kuvimbisha vidole vyako hivyo kwa ukomavu.
 
huna haja ya kuongea wewe BABY acha pesa iongee

Mkuu sasa wewe ndo umeanza kuninyooshea hoja yangu pesa itaongeaje kabla ya mimi sijaongea shida yangu.Hoja yangu imetokana na kauli kama hiyohiyo.

Badhi yetu husema siku hizi watu hatutongozi inatontoza pesa.Sasa kwa mfano mimi najijua nina hela ya mawazo ya kila mwisho wa mwezi lakini nataka mtoto mkali kama wewe Eva.

Nikaja kwako nikakwambia nakutaka unataka shs ngapi uli unipe tunda.Utanitajia kiasi? Na mimi najua sina hela kwa wakati huo, ukinitajia tu naenda kuprosesi mkopo halafu nakuletea.

Unaionaje hiyo?
 
Ukiwa na pesa wadada watakutongoza had hujui umchukue yupi...

Mkuu kwa hiyo hapa sio pesa inyotongoza bali wanawake wanawapenda wenye pesa.Kwa sababu mimi nisie na pesa mfululizo nikazichanga miezi minne za kamshahara kangu.

Afu nikamtafuta mrembo mmoja anaeutesa sana moyo wangu.afu nikamkabidhi mzigo atanikubali? ilhali anajua kua mimi ni mtu arosto muda wote? isipokua tu siku hiyo nimezibamba
 
Ukitumwa dukani kwenda kununua unga huwa unafanyaje?

Si unauliza kwanza kama unga upo au la?
 
we unatuma tu kwa m pesa mara nyingi iwezekanavyo hadi mwenyewe atajistukia na kukutafuta....
 
Unafanya vyote kwa wakati mmoja baada ya kusoma mazingira yote. Angea nae vizuri tu, na chochote kinachohusu kutumia pesa kwa muda huyo jaribu kuwahi wewe kulipia. Na usioneshe kwa kuwa basi una mgharamikia basi lazimia umvue. JIfanye kama vile pesa siyo kitu kikubwa saana kwako. Atakuzoea mapema sana na utafanikisha.
 
Hahahahaaaaaaaaaa!

Usicheke mkuu sitanii,mie sijui namna ya kutongoza kwa kutumia hela.Ila najua kutongoza kwa maneno lakini huwa napata usumbufu mkubwa sana na huishia kukata tamaa.Lakini nikikubaliwaga najua kutumia na huyo mpenzi pia najua hata kumpa hela au kumnunulia vitu vizuri.Lakini baada ya kunikubali
 
lee van cliff
Ukiniuliza unipe sh ngapi nikupe ntakumind mno ok cha kufanya ni hivi, niite mahali pazuri zuri, piga story mchanganyiko tu zisiwe za tongozo wala kujisifia sifia kifamba ooh mara una gari mara.nini utaniboa acha nile ninywe tena unanichombeza na vineno mshenzi "feel free eva agiza unachotaka" clear bill tukuagana ntoe hela baadae unapiga.

Kasimu kujua kama nmefika asbh unatuma kivocha hv siku nyingine ukiniita ntaanzia wapi kukataa mdogo mdogo hvo hvo siku ukiniita rum najileta ila make sure una mvuto sio unajiweka kama sanamu udhani ntakupa ntakuchuna.tu watakula wenzio,huo ni mfano wa.namna ya kuacha pesa iongee unaezazidisha viufundi uchwara vya kunipeleka shopping n.k n.k
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom