ISLETS
JF-Expert Member
- Dec 29, 2012
- 8,116
- 5,370
Jamani mi naomba niulize humu MMU.
Watu wengi huwa wanaanza mahusiano yakimapenzi wakiwa na umri mdogo hasa mashuleni yani unakuta mtu anakosa raha asipomwona mpenziwe, love massege kwa sana.
Kama mke na mume je hivi hapo huwa ni kupendana kweli au kutamaniana tu maana watu kidato cha pili eti wapenzi na ahadi za ndoa juu what. 🙁