Ni aibu kwa wadada kutokujua kupika

Ni aibu kwa wadada kutokujua kupika

Amalinze

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2012
Posts
6,780
Reaction score
5,322
Habari wana MMU.

Leo natoa somo kwa wadada/wasichana linalohusu upishi.Kujua kupika nayo ni muhimili mmojawapo unaoshikilia ndoa.Wadada hawa wa kizazi kipya wengi wao hawajui mapishi kabisa,wengi wanapenda shortcut tu za kunua instant/junk foods ambazo ndio zinazowafanya maumbo yao mazuri ya kike kuaribika kwa kiribatumbo.

Jifunzeni kupika sio kutwa mpo Instagram kutafuta umbea.Tafuteni thread za mwanajamii mwenzetu farkhina anatoa masomo ya upishi.Ebu chekini picha ya chini mmoja wao ndio ametengeneza hizo chapati,kwa hali kama hii mkikimbiwa mtamlaumu nani.

Chapati.jpg
 
mie sijui na sioni Aibu, i think kupika ni kipaji nacho kama kuchora ...mnh huonagi kuna wengine wanafundishwa na bado wanavurunda?????:lol:
 
Umejuaje ni mdada kapika hizo hata wakiume wanapika siku hizi
 
mie sijui na sioni Aibu, i think kupika ni kipaji nacho kama kuchora ...mnh huonagi kuna wengine wanafundishwa na bado wanavurunda?????:lol:
Hebu nidai out. Mie kupika sio hobby kabisa, japo huwa napika.

O level I had to take additional maths just to avoid somo la upishi.

Na wala sioni aibu kusema upishi is not my thing.
 
mwanamke asiejua kupika utaoa wa kazi gani!!!? yani asijue vyote ila sio kupika
 
alafu hujui kupika utakuaje mama?vitu vingine vinatia aibu siolazima kuchangia au kubisha
 
Hivi wewe lakini! Ujue mume akienda kwa nyumba ndogo huwa anakumbuka upishi nyumbani anarudi mbio? Shauri yako
Hebu nidai out. Mie kupika sio hobby kabisa, japo huwa napika.

O level I had to take additional maths just to avoid somo la upishi.

Na wala sioni aibu kusema upishi is not my thing.
 
Back
Top Bottom