Habari wakuu.
Mimi ni mwanaume natafuta mke wa kuoa anayejua nini maana ya kupenda,kwa sasa sina kazi awe tayari kushirikiana nami kutafuta kazi,akiwa na utayari tuishi mume na mke awe na umri...
Mimi ni mvulana mwenye umri wa miaka 30 nimuajiliwa katika shirika la umma, ninatafuta mchumba mwenye umri kati ya miaka 24 -29, awe anafanya shughuri yoyote iliyo halali ,dini yoyote ...
Mimi nilikuwa nasubiri pakuche nimalizie stress zangu hapa. Valentine day yangu ilikuwa mbaya mpaka na pete ya uchumba nimerudisha. My boyfriand anaishi Arusha ndiko alikoajiriwa mimi niko Dar es...
Imekuwa ikisemwa hivyo mara kwa mara. Mimi niliamini huu usemi mwaka 2002., nakumbuka nilikuja Dar kufatilia uhamisho wangu wa shule, nilikaa kwa baba yangu mdogo kwa takribani wiki moja. Huyo...
Je kuna utofauti wowote ukitongozwa na mtu aliyesoma na asiyesoma,akikutongoza na mtu aliyeacha shule akiwa form two na mtu mwenye master yake nani mjuzi wa kuchangisha maneno na mwenye wingi wa...
Wasichana walikuwa kama wanne hivi toka kwenye gari aina ya Chesa, wamejaa hangover kama vile usiku walikesha, akatoka msichana mmoja mrembo toka kwenye lile lile gari akanambia tuelewane...
Nilipata mualiko kwenye mashauri wazazi wanamsimanga jamaa kwamba hakufanikiwa ingawa jamaa ana kazi yake na vibiashara vya hapa na pale.
Wazazi wake wanamfananisha na wadogo zake ambao...
Habari wana Jamii Forums.
As days go on girls and women wanaingia kwenye full artificial lifestyle ambayo inawafanya wawe materials and not real humans. Hivi hii imekaaje? Hebu tulijadili hili.
Habari za Mwisho wa juma wana-MMU?
Mie bukheri wa afya.
Hoja yangu ya Leo:
Ni wazi tuwapo kwenye mahusiano huwa kuna viroja, vituko ama vijitabia vya wenzetu kwenye uhusiano ambavyo katika hali...
Wana Jamii forums.
Kuna shida nimeletewa nashindwa kutoa ushauri.Rafiki yangu ana umri wa miaka 39 na ndugu zake ni wakubwa kuliko yeye.Anadai wako karibu sana na ndugu zake kiasi cha kuhatarisha...
Mimi ni msambazaji wa bidhaa kwenye supermarket mbalimbali nipo Arusha. Juzi katika kazi zangu nilipata mteja mpya ambaye ni mama mtu mzma mwenye supermarket yake.
Nilimpelekea mzigo baada ya...
Jamani kweli mimi sina bahati ya mapenzi,kuna kijana mmoja niliwahi date nae lakini siku moja nikagundua ana uhusiano na mdogo wangu,
Sijakaa sawa nikagundua anamtongoza rafiki yangu, nikaona...
Kila binadamu ana harufu yake,mbwa alijaaliwa kutambua harufu ya kila mtu ndio maana ukimpiga mbwa leo ile harufu hata ikipita mika akadhaa akikuona atakuchenjia.
Tulio wengi tumekariri kujua...
Habari zenu wanajamvi.
Leo nimekuja kwenu naomba mnisaidie kumpa ushauri rafiki yangu, ni mtu mwenye aibu kupita kiasi yaani hajiamini kabisa mara zote anajiweka kuwa mnyonge na kuonekana mtu wa...
Nina miaka 28, jinsia yangu ni mwanaume, elimu yangu degree, ni muajiriwa.... natafuta mchumba popote, napendelea zaidi mweupe, asiwe kibonge , mcha Mungu, aliyetayari ani pm
Wakuu tuna kazi ya kumtafutia rafiki yetu mke aliyeokoka lakini awe mature miaka 35 na kuendelea asiwe na watoto labda mtoto mmoja,ndugu yetu ana 43.
Tafadhali pm haraka sana.
Ulaaniwe wewe unaependa michepuko na ukifika huko ili uwekwe moyoni,unamsengenya na kumkandia mkeo/mumeo au partner wako nimecheka.
Hii nimeikuta sehemu" rafiki siwezi kukwambia mumeo anacheat au...
Hellow wanaJamiiForum,
Hapa hivi nimeamka tangu saa 10 baada kushtushwa na ndoto mbaya. Nimeota mpenzi wangu amenipeleka sehemu alafu akanichinja (kama mnyama) hii inamaanisha nini? Tafadhali...