Watever the meaning. Kemea hiyo ndoto, tumia damu ya Yesu (kama unaamini) kuteketeza mpango wa adui, madhara yanayotokana na hiyo ndoto na hila zote za muovu.
Kama ni mkatoliki nia ya misa ya jumapiki ijayo iwe kuteketeza ndoto hiyo. Wakati unatoa sadaka toa na ndoto hiyo, maana take, nia yake na madhara yake. Wakati wa mageuzi omba damu ya Yesu iharibu kila kilicho kibaya ktk ndoto hiyo.