Wanawake wenye vidole vyenye sugu tahadhari kwenu.Hii ni baada ya mashine za BRV kukataa vidole vyenye sugu katika zoezi la uandikishaji katika daftari la wapiga kura.
Mwanamke kuwa na masugu...
Mfano;
1.Kuoga wote.
2.Kumpa mtu hela ya kununua wigi.
3.Kuchat mda mwingi.
4.Kunyonya sehemu za siri.
5.Kulishana.
6.kufanya mambo mengi kisha kuachana.
Nimekutana na huyu dada anaomba ushauri kwa Joyce Kiria.
Miaka 3 ilopita nimekuwa katika matatizo makubwa sana nawashwa sana sehemu za siri (ukeni). Nilienda baadhi ya hospitali wanasema ni...
Natafuta mchumba ambaye hana uzazi na ambaye atakuwa tayari tufunge ndoa baada ya kufahamiana,nipo Kanda ya Ziwa kikazi,Umri miaka 30,elimu yangu ni chuo kipato cha wastani.
Napenda awe na umri...
Ili ni jina nlilopenda kumuita kwa utani mpenzi wangu huyu wa zamani ambaye amenifanya nisiweze kupenda tena mpaka sasa ni Mzee Wa hit n run.
Wiki iliyopita nmekutana nae baada ya miaka 4 ya...
Mnakumbuka sakata la yule mama aliyesusiwa mapacha sita na mumewe. mwanamke aliachiwa watoto sita kwa madai kuwa anazaa sana.
Bila shaka alipitia kipindi kigumu sana hadi hapo alipofikia leo,leo...
Niaje niaje humu ndani.
Kuna mtoto najaribu kumuweka sawa hapa kwa message yani sound linamuingia mpaka raha, maana anaelewa mno, face to face inakuwa ngumu kidogo si rahisi kudanganya lakini...
Habari za saa hizi.
Communication is an art and a skill. Hiki kitu unaweza kujifunza through experience,kupitia kwenye malezi au ukawa natural born an excellent communicator.So tuangalie vitu...
Ni bora ukutwe na pakiti hata kumi za kondom amabazo hazijafunguliwa kuliko mkeo/mumeo kukukuta na kondom moja ama mbili zilizobaki (chenji).
Hii ni kwa sababu chenji maelezo yake hayahitaji...
Wanawake wengi hawajui wanaume wanapenda nini.Kutokana na kutokufahamu waume zao au wapenzi wao wanapendelea kitu gani wanawake huishia kujaribu jaribu kila kitu na kuhoji utasikia nimependeza,ama...
Many twins are known to be inseparable and usually share an unbreakable bond.
However, two South African twin sisters loved each other so much, that even marriage couldn't separate them. They...
Hi guys,hope you had a super fine day & sorry the days hustle & basal.
Its hard to find true love a thing i've been offering without a shadow of doubt only to be hurt in return.I now believe in...
NINI UTAFANYA? mke alimuaga mumewe anaenda kumsalimia mama yake mgonjwa kijijini. Akaondoka Ijumaa na kurudi Jumatatu na matunda kibao na vyakula vingine toka kijijini akisema ni mama kanipa kwa...
Ukijaliwa kuwa Msichana mzuri na mrembo,usidhani utatetemesha kila Mwanaume, kuna wanaume na akili zao kichwani,urembo wako hauwasumbui kama bichwa lako ni kanyaboya,uzuri wako hausaidii kitu,
na...
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!
Mtambuzi thank you so much for the 5 star black forest strawberry cake! Aaaaaaaw! It was so yummy! I cant thank you...
Wakuu my love na mimi now tuna mtoto ila cha kushangaza alinificha kwa miaka 3 pindi nipo chuo then ndio akaniambia my kid resembles alot.
Ila sijaelewa mantiki yake na why hakunishirikisha all...
Habari kwenu wote,
Kama ilivyo ada kwetu sisi vijana wengi, kukutana mwisho wa wiki aidha kwenye baa, grocery au hotels, kwa ajili ya kubadilishana mawazo na kupeana ushauri kwa yale yote...
Habari za saa hizi wana JF wenzangu
Leo jamani tuweke kumbukumbu na tushare life best experiences ambazo tunazifurahia.
Inaweza kuwa ni adventure.
ama ni changamoto ilokupa maendeleo au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.