mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 22,353
- 56,171
Kila binadamu ana harufu yake,mbwa alijaaliwa kutambua harufu ya kila mtu ndio maana ukimpiga mbwa leo ile harufu hata ikipita mika akadhaa akikuona atakuchenjia.
Tulio wengi tumekariri kujua aina za manukato watumiayo wapenzi wetu lakini kama kweli unampenda mtu wako hakikisha unajua harufu yake na nini faida yake.
Ni rahisi kujua kuwa mwenzako anachepuka au la kama ukikariri harufu yake mfano umesafiri na mwenzako akaingiza mtu ndani unahisi mashuka yana harufu haileweki basi jua mtu kasha liwa.