Msichana kila siku anaomba hela

Msichana kila siku anaomba hela

kyalankota

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2014
Posts
2,594
Reaction score
1,463
Wasichana walikuwa kama wanne hivi toka kwenye gari aina ya Chesa, wamejaa hangover kama vile usiku walikesha, akatoka msichana mmoja mrembo toka kwenye lile lile gari akanambia tuelewane, twenzetu tukajichane. Kama kuna wasichana mia kama hawa wengi tutakuwa tunaugua UKIMWI.

Sitaki demu-Juma Nature
 
akiomba laki moja, mkomoe kwa kumpa laki mbili...
 
Hii ngoma ilitwa Sitaki demu au inaniuma sana.Huwa zinanchanganya
 
Kichwa miguu na kila aina ya kiwiliwili vimepotea, yaan huelewek.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom