Wapenzi wa ajabu, yamewahi kukuta haya?

Wapenzi wa ajabu, yamewahi kukuta haya?

dalalitz

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2013
Posts
3,476
Reaction score
2,087
Habari za Mwisho wa juma wana-MMU?

Mie bukheri wa afya.

Hoja yangu ya Leo:
Ni wazi tuwapo kwenye mahusiano huwa kuna viroja, vituko ama vijitabia vya wenzetu kwenye uhusiano ambavyo katika hali ya kawaida wenza tunaweza kuvishangaa ama kukwazika navyo kwakuwa si-vya kawaida ama tusingeweza kuvitegemea.

Lakini kama watu wazima huwa wakati mwingine tunachukuwa hatua za kuhojiana ama kurekebishana ikibidi.
Na kama hatuwezi na hasa kama uhusiano wenyewe ni wenye hadhi ya 'Dispozabo' mtu unaamua kupotezea tu.

Si vibaya basi tukapeana viwili vitatu vya hivyo Viroja tulivyowahi kukumbana navyo lakini katika mlengo wa kistaarabu.

Kanuni:
1.Tulinde Heshma ya mhusika(Taja jinsia ya mhusika si jina)
2.Ulichukua hatua gani baada ya kukiona ama kukishuhudia hicho kituko/kiroja?

DEMO:
Mimi nimewahi ku-date na Mdada mmoja, Siku tunaamua kulimeng'enyua 'Tundi' kwa mara ya kwanza;
Ile namchojoa Kufuli lake tu,
Sikuamini nilichokiona kwa macho yangu, Kufuli la huyu mdada lilikuwa limechakaa mno na limejaa matobomatobo (Usicheke, Niamini mimi)

Chaajabu ni kuwa mdada alikuwa nadhifu kimavazi kwa nje na Msafi pia,
Nilipigwa butwaa nisipate jibu, na mdada si kwamba mchovu alikuwa mtu na mambo yake.

HATUA NILIYOCHUKUA: Niliichukulia kama hali ya kawaida na nikapotezea 'as if' hakuna kitu kilichonishangaza na kiukweli ile Chupi sijaiona tena katika maisha ya uhai wa uhusiano wetu.
Mpaka leo najiuliza Ile chupi yeye kuivaa tena siku muhimu kama ile ya kwanza na mimi katika uhusiano ilikuwa kusudi, ajali ama kitu gani-Sijapata jibu hadi leo na sikupataujasiri wakuhoji.

HAYA TWENDE SASA NA WEWE.....

Mm siku ya kwanza ya date akaja na Mama yake pale hotelini!Mama hana shida yy anajipigia castle yake akituacha sisi tupande vyumbani tukayafanye yetu
 
Bado sijakutana na hilo, nikikutana nalo nitakuja kukwambia
 
Mm siku ya kwanza ya date akaja na Mama yake pale hotelini!Mama hana shida yy anajipigia castle yake akituacha sisi tupande vyumbani tukayafanye yetu

hii kali
 
mimi kwa kweli sitasahau nilipokutana na mdada anapiga pombe,bangi,sigara,viroba,hawez kulala asipotumia hivyo vitu..alinitesa sana kwa kuwa situmii hayo mavitu.aliponiacha hoi kuja tu kunisalimu mkoan kashajua wapi bangi inapatikana,daah alafu dada alikua mzuri..nilimtimua kwa kweli,nashukur nimetoka kweny mikon yake
 
Duuuh kali ya leo hii
 
Haaa...subiri nukupe saikolojia ya huyo mdada kuvaa chupi iliyotoboka toboka.....huyo alipanga hakupi siku hiyo, ila alikuwa na ile roho ya sitaki nataka...
Sasa ili kuishinda ndo akavaa chupi ilichakaa makusudi ili akija hata umshawishi vipi asikupe...kwa kuionea aibu hiyi pichu....! Wengine wanatinga pedi kabisaaaaaa!

Ila ushawishi wako ulimshinda ndo akaamua aachiee.....lol....!
 
Experience unayo.....yaonekana ulishawah fanya
 
mimi kwa kweli sitasahau nilipokutana na mdada anapiga pombe,bangi,sigara,viroba,hawez kulala asipotumia hivyo vitu..alinitesa sana kwa kuwa situmii hayo mavitu.aliponiacha hoi kuja tu kunisalimu mkoan kashajua wapi bangi inapatikana,daah alafu dada alikua mzuri..nilimtimua kwa kweli,nashukur nimetoka kweny mikon yake

Kweli huyu ni komesha
 
ngei contacts zake nmtafute, maan me napend sana watu hao!
 
Mimi nimewahi ku-date na Mdada mmoja, Siku tunaamua kulimeng'enyua 'Tundi' kwa mara ya kwanza;
Ile namchojoa Kufuli lake tu,
Sikuamini nilichokiona kwa macho yangu, Kufuli la huyu mdada lilikuwa limechakaa mno na limejaa matobomatobo (Usicheke, Niamini mimi)
chupi.JPG
Z
 
Back
Top Bottom