Tangaza nia basi bado naweka mambo yangu sawa yapi hayo?

Tangaza nia basi bado naweka mambo yangu sawa yapi hayo?

Kaundime2

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2015
Posts
1,085
Reaction score
461
Jamani nyie wanaume hebu acheni visingizio basi, mwaka unapita ooh bado naweka mambo yangu sana wa pili huo nao bado naweka mambo sawa tatu haya wa nne khaa.

Ni mambo gani ayo yasoisha,alafu ayo mambo uwezi weka sawa tukiwa pamoja ivi mnaandaaga nini asa, ndo icho kitanda sijui makochi kabati,aya kwani unapolala kwasasa atuwezi lala wote kwani unapoketi sasa atuwezi keti wote adi makochi acheni visingizio basi.

Mi nakuvumilia mwaka wa kwanza mwaka wa pili ukiendelea na stori zako hizo naanza kukalibisha maombi kwa wengine kimyakimya nikipata anaemaanisha nakumwaga kama sikujui vile,anaeponda aponde ila mjue mnatusababishia tuwe na wengi.
 
Subira yavuta kheri... Ndoa inahitaji mtu awe tayari
 
Ndo adi miaka 3, minne ...mitano..?? nakupa sevisi tu bure bure!siyo mimi aisee
 
Kaundime2

Umechanganyikiwa ww na papuchi yako itachapwachapwa hovyo na watu tofauti mpaka iote sugu huna tofauti na nyuki anayedanda danda kwenye maua
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha ha ha si mnapenda mwenye pesa? wacha tuzitafute kwanza!
 
Ukijifanya unakiherehere cha kuolewa utakiona cha moto.
Utafunuliwa na kufunikwa
 
Mchezo huo nilimmimina mtu hadi kesho haamini, nlikuja kumwambia uso mkavuu nishaposwaa....
 
Ndo mana nasema uchumba mwisho mwaka ukiongeza wa pili najua auna nia hapo naanza kuitisha maombi mapya kisirisiri nisepe
apo ndo usubiri kadi ya mwaliko tu eti nikae na mtu uchumba miaka na miaka naumwaa?alafu ndo usijidanyaje eti mwaka wote unajipakulia tu upendavo weee!! siyo mi aisee.
 
Safi ulimkomisha vizuri uyo Kim nana jitu linakuzeesha tu kila siku ohoo mambo yangu ayajakaa sawa huku mie miaka inaenda nazidi kukataa fulsa kwa ajili yake labda asitokee anaemaanisha walai siangalii sijui tumetoka wapi wote sijui umenipa nini utabaki na manyoya tu ya kumbukumbu.
 
ndo adi miaka 3, minne ...mitano..?? nakupa sevisi tu bure bure!
siyo mimi aisee

Kaundime 2 kama uko hivyo na jamaa anazingua,una haki ya kusepa,
scenario yangu mahari 3 m,afu wadada wengine wanataka vyote viwepo,mf gari,n.K!
 
Wanaume ndo wanasababisha ke wengi kuchelewa kuolewa mana wanakaa kwenye uchumba mda mrefuuuuuu, mwisho wa siku unambwaga chini, bora umchane live kuwa mimi sitakuoa, nimekutamani tu
 
Mi sera yangu tuanze wote kutafuta ata tukilala chini poa kama ni kukaa chini poa tu ntanunua ata kigoda cha kupikia tuila habari za sijui bado najijenga walai utanisikia tu kwenye bomba.
 
Mashaxizo
Dizaini za kina Smile, daah sijui aliendaga wapi huyu dada wa watuIla wadada wenye misimamo kama hii imewasaidia kuolewa haraka
 
Last edited by a moderator:
Kaundime2

Kwenye hiyo service anayepata raha nani kama siyo wewe kama vipi muache nenda kwa huyo anayekuzuzua ukaamini ndiye kumbe siye halafu yule uliyemuacha unakuja kusikia kaoa hapo ndipo tunaposema mwanamke mwalimu wake kipofu huwa hajui kufikiri yeye anajua maamuzi ya kutenda tu pasipokujua nini anachokifanya.
 
Last edited by a moderator:
Mashaxizo

Dada zetu jf full multiple ID huwa hawajikubali wewe kama unatafta mume njoo tu na id yako tutakuelewa siyo kujiunga na kujiunga unatag mtu hiyo haileti picha mkuu kwa hawa madada.
 
Last edited by a moderator:
mito

Uzuri wa humu hata ukija na id mpya watu tutawajua tu kwakuwa tabia ya binadamu haibadiliki.
 
Last edited by a moderator:
Kaundime2

Shake well before use unataka kuuziwa mbuzi kwenye gunia, kama unajiamini ni wife material utaolewa tu ata ukae miaka 5 kwenye uchumba!!!
tatizo lenu mnaigiza sana mtu kujua tabia yako ni mpaka akugeuze vya kutosha, hamkawii kuwa kisilani mkiolewa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom