Waraka wa fideline iranga kwa mafundi ''vitongozi'' | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waraka wa fideline iranga kwa mafundi ''vitongozi''

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Teamo, Sep 20, 2010.

 1. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #1
  Sep 20, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,281
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  wakuu,
  hebu pitieni pitieni ukurasa wa huyu binti huko facebook,then muangalie picha anazozibandika,then muangalie bandiko lake hili hapa:

  muamue ninyi sasa kumdharau au kumuheshimu!.....
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Sep 20, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,233
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Too Miserable!...huh!
  Nani aliyemwambia siku hizi wanawake wanatongozwa!...nani apoteze muda kumtongoza badala ya kwenda na kumvuta gauni lake na kuondoka nae!
   
 3. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #3
  Sep 20, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,981
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  huyu ndio yule mdada bonge anaevaaga ovyo vyo?..."tayari nina mabwana 10"....kazi ipo.
   
 4. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #4
  Sep 20, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,981
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  hii nayo mpya, wanajitongzesha? au wao ndio wanatongoza?
   
 5. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #5
  Sep 20, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,271
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Nimempenda ghafla
  soon atabandika ana mabwana 11 sasa
   
 6. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #6
  Sep 20, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ......kaamua kujidhihirisha wazi yeye ni mtu wa aina gani, kwa sababu wengi wanashindwa kumuelewa kwa kuona picha tu.
   
 7. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #7
  Sep 20, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,813
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  she must be on drugs.... its pathetic
   
 8. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #8
  Sep 20, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,281
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  hawa ndo wasanii wetu wa bongo.....!
  vere serious anabandika UCHI wake fb
   
 9. Beauty

  Beauty JF-Expert Member

  #9
  Sep 20, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 538
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  kazi ipo kwa mabinti zetu.
   
 10. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #10
  Sep 20, 2010
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 133
  Teamo,
  Hizi ni habari zake yeye na marafiki zake wa fb, inakuwaje unakuja zimwaga hapa kwa watu ambao haziwahusu. Kweli Fide ni ovyooo, lakini mambo hayo hajayasema hadharani, kasema kwenye mtandao ambao kachaguwa watu maalumu kuwaambia, wewe umepata wapi ruhsa ya kumwaga hapa?
   
 11. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #11
  Sep 20, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,271
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  nimemfata kule FB kuona anavyojianika

  mcheki hapo chini ktk profile pix yake
  fide.jpg
   
 12. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #12
  Sep 20, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,313
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  Jeez Nimebakia na kizunguzungu .....:confused2::confused2:
   
 13. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #13
  Sep 20, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,313
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160

  jamani kila siku namuona kwenye mared carpet badala ya kuwa mfano kwa jamii ndo tabia zake za ajabu hivi?
   
 14. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #14
  Sep 20, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,281
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  habari ndiyo hiyoo
   
 15. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #15
  Sep 20, 2010
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,937
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  Teamo mbona hujibu? kopiraiti plzzzzzz!
   
 16. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #16
  Sep 20, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 45,281
  Likes Received: 10,913
  Trophy Points: 280
  Ndugu, uliendaga fanza kitu gani kumu profile ya huyu mutu kwa FB? Hahahaha! Jasiri hapana kumuacha kumuasili kwake....
   
 17. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #17
  Sep 20, 2010
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,917
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  biashara matangazo
   
 18. daughter

  daughter JF-Expert Member

  #18
  Sep 20, 2010
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 1,273
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  umemaliza
   
 19. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #19
  Sep 20, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 45,281
  Likes Received: 10,913
  Trophy Points: 280
  Daughter rafiki yangu, hiyo avatar yako inachonifanya nikitende hapa nahisi Mungu atakuwa hapendi!:confused2::confused2:
   
 20. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #20
  Sep 20, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 29,630
  Likes Received: 10,137
  Trophy Points: 280
  Hana gauni hata moja, ni mshinda uchi
   
Loading...