Jamani kichwa cha habari kinajieleza hapo juu
Huyu rafiki yangu alikuwa anatembea na huyo dmsichana atakavyo na mbaya zaidi ni kwamba huyo rafiki yangu kashawahi kunisimulia kwamba ipo siku...
Habari wan jamii
Jamani wana jamii forums, ni sahihi kwa mimi na kaka yangu kuoa familia moja.Naomba nijue kwani kuna ubaya wowote wa mimi kuoa alipooa kaka yangu.Kama kunashida yoyote kuoa...
Ndugu rafiki zangu mimi ni kijana wa miaka 33 natafuta mchumba wa kuoa mwenye sifa zifuatazoanae weza kuongea na kuandika kiingereza
Elimu yake kuanzia kidato cha nne na kuendelea Mimi ni kijana...
s
1 – DON'T SLEEP WITH WATCH. Watch can emit a certainlevel of radioactivity. Though small, but if you wear your watch to bed for a longtime, it might have adverse effects on your...
Wanajamvi nimeolewa leo mwaka wa kumi,sijawahi kutoka nje ya ndoa yangu na nimekuwa namuheshimu sana mume wangu, nikijua anachepuka na kuniletea watoto wa nje nilee.
Leo ni miaka kumi imetimia...
Bila shaka muwazima wa afya wadau.
Kuna jambo linanisumbua mahali ninapo kaa kuna sugar mamy mmoja ananisumbua sana kwakifupi ananitaka kimapenzi na mimi nimemkatalia.
Sasa cha ajabu kila...
Habari wana MMU
Juzi nlitupia uzi kuhusu mchumba wangu.ambaye nlikwisha mtambulisha kwa wazazi na pia nikampa kishika uchumba, naye pia akaniweka wazi kwa mama yake,baada ya kuona anaongeza...

~Kukutana nawewe
~Nikaanza kukupenda
~Kuwa nawewe katika maisha yangu
~Kukuamini na nikakupenda sana zaidi ya unavyostahili
~Nililia kwaajili yako pindi uliponiacha bila saababu...
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! (Hii mada sio Ethical Wala Moral, haina integrity hata chembe kama unahisi hisi...
Wanajamii kuna kisa kimoja kimemtokea rafiki yangu na kwa kweli amebaki kuchanganyikiwa. Kisa chenyewe ni kuwa jamaa ni ana rafiki yake wa kike (raia wa nchi nyingine) ambaye wanasoma naye na wapo...
Habari za muda huu wana MMU
Hua kuna taarifa mbalimbali tunazisoma kwenye magazeti na kusikia kwenye media,mara fulani kamfumania mkewe au mumewe.Hivi sheria zetu zikoje.
Haki za kuwa faragha...
Mimi sio muandishi sana wa post humu, ila leo nimekutwa na balaa labda nikiandika humu nitapata faraja kwa namna moja au nyingine. Mama mwenye nyumba sehemu nilipopanga Kimara Korogwe leo kaamka...
Hii Hadithi nimeikopi Facebook... sasa endelea
NA: George Iron Mosenya
Usingethubutu kumtongoza kirahisi rahisi kama huna roho ngumu!! Alikuwa haoni hatari kukutukana hadharani na...
Kaka na dada zangu hapa Jamii forums
Naombeni ushauri wenu nimekuwa kwenye uhusiano dada mmoja kwa takribani miaka miwili, sasa na tumezaa mtoto mmoja mwenye miezi tisa sasa.
Kumetokea mizozo...
Happy women day hope nyote wazima humu ndani,heshima na upendo kwa dada zetu sina mengi leo ila nlikua na ujumbe tu mdogo au ukumbusho.
Nowadays heshima ya mwanamke imeshuka sana,wengi huwaona...