Mhdiwani
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 650
- 712
Bila shaka muwazima wa afya wadau.
Kuna jambo linanisumbua mahali ninapo kaa kuna sugar mamy mmoja ananisumbua sana kwakifupi ananitaka kimapenzi na mimi nimemkatalia.
Sasa cha ajabu kila girl friend wangu akija akimuona tu basi atakuja home ataganda weee anajifanya anapiga story mpaka imekua kero na mimi sjazoea kwenda gest.
Sasa wadau nifanyaje nipeni ushaur cause amenizidi miaka 20 yaani imekua too much hapa mtaani na mume wake hapendagi anavyokuja home.
Naombeni ushauri jamani
Nimeleta mrejesho jamani uvumilivu umenishinda nimeamua kumaliza kazi jaman mke wa mtu ni mtamu kiukweli jimama lile hapana asee nishajipatia mchepuko wangu wa karibu