Habari wana Jamii forums
Je kuoa/kuolewa na mlemavu wa kiungo/viungo yaweza kuwa sababu ya mtu kuchepuka eti kuna ukweli wowote kuhusiana na hili wanajamvi naomba tujuzane.
Karibuni kwa mawazo
Wapo wanaume wasiojielewa na waoga wa kutisha, wasioweza kupambana na changamoto ni binti mrembo mtaani kwetu kachafuliwa ana HIV, kumbe ni uzushi tu wa mwanaume wake. Ili asipate upinzani kwa...
Nimeipata mahali, nami nimepaste kama ilivyo.
Salamu zenu wadada wenye tabia hii;
~Yaanike matiti yako kwenye mitandao wee, yabane vizuri na vaa vinguo vya ajabu ili yaonekane...
~Jaa kiburi...
Heshima kwenu nyote.
Nimeshaiona sana hii. Players/Playboys mara nyingi wanapoamua kuoa au ku-settle huwa wanakuwa na ma-dame ambao kwa namna flani wanakuwa chini ya kiwango kulinganisha na...
tusaidiane hili..
Hivii.. Undugu wangu na niliyezaa nae unakujajeee???
Inapofikia mahali mahusiano yetu yamekoma kabisaaa!! No communication je huyu ni ndugu yangu??
Nitamuitaje.. Pale ambapo...
Habarini wandugu.
Jana nikiwa namalizia weekend yangu nilikuwa naperuzi jarida la Bang! nikakuta article moja ikielezea confessions from single women as to why they are more interested in...
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Tuanze kumshukuru Mungu, Lord we thank you for thy sisters Wema Sepetu, Jojo, Penny kwa kuachana...
Habari wana jamvi.
Ni msichana mrembo niliyemuona kwa mara ya kwanza kabisa akitokea Sekei kuja kufanya kazi Mrombo.Nilishawishika kutafuta namba yake ya simu kwa kadri niwezavyo ili nipate...
Sijui ni mimi peke yangu au tupo wengi lakini mimi mwanamke kwangu hata awe mzuri vipi lakini kama sio bikira we cant date, forget about marring her.
Nikitaka kuwa na relationship na mwanamke...
Habari wana MMU.
Kuna rafiki yangu anajiandaa kwenda kujitambulisha ukweni Lushoto Tanga, sasa alikuwa anaomba msaada wa mtu anaejua utaratibu na hata kuorodhesha vitu vinavyotakiwa kwenye...
Wakuu amani kwa wote.
Unakuwa na mtu katika mahusiano kimapenzi kwa miaka 4, kisha anakuahidi utamwoa hivyo basi amalize kwanza shule form six kwakuwa hawezi kufanya tendo la ndoa kabla ya wakati...
Jana nilikua naongea na binti mmoja nikiwa na lengo la kumpa ushauri iliaweze kuacha tabia ya kuchepuka, kwani huyo binti anadate na jamaa ninayemfahamu lakini binti anachepuka sana.
Nilimwambia...
Habari wana MMU
Wadau tuambiane ukweli,hivi wewe unaesoma hii meseji hujawai kufanya tendo la ndoa mpaka unaolewa au kuoa
Kama yupo atupe njia alizo tumia kushinda tamaa ya kuzini pindi ya...
Kiukweli nimejisikia uchungu, huyu ni jirani yangu hapa, Mama yake mzazi kaja kutokea kijijini anaumwa miguu. Kaona aje kwa mtoto wake apate kuugulia, mtoto kamfukuza kwa ushauri ya mke wake...
Habari za uzima wanajamii.
Leo nimekuja na hili mnisaidie ushauri maana wakati wote naamini humu ndani kuna wazoefu na wenye hekima busara na ushauri wa kumrudishia hadhi mtu aliepatwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.