Jana nilikua naongea na binti mmoja nikiwa na lengo la kumpa ushauri iliaweze kuacha tabia ya kuchepuka, kwani huyo binti anadate na jamaa ninayemfahamu lakini binti anachepuka sana.
Nilimwambia kwanini usiache kuchepuka na ukae na mmoja ili uweze kutulia. Alinijibu kuwa awezi kuacha kuchepuka kwani hata angekuwa na mimi kuchepuka ni lazima.
Nikamuuliza, kwani kuchepuka uko unatafuta nini. Alinijibu anatafuta yenye mwanya, matege, ATM na CCTV kweli nikabaki niko hoi bila kujua maana yake,nikauliza utachepuka hadi lini. Akajibu pale ambapo atapata zote alizoniambia hapo juu.
Nilishindwa kumwelewa huyu binti jamani, mwenye kuelewa alichokua anamaanisha huyu binti anaisaidi, je ni vyema nikamwambie huyo jamaa anadate nae au nitakua mmbeya.
Kuchepuka siyo dili, baki njia kuu.