Alkelokas
JF-Expert Member
- Dec 12, 2012
- 203
- 104
Habari wana MMU
Juzi nlitupia uzi kuhusu mchumba wangu.ambaye nlikwisha mtambulisha kwa wazazi na pia nikampa kishika uchumba, naye pia akaniweka wazi kwa mama yake,baada ya kuona anaongeza kalenda mbele kinyume na tulivopanga na nikimuuliza sababu zipi za msingi anadai ameamua tu,nikaona huyu asiendelee kunipotezea wakati.
Nikamwambia kama ndivyo bora uahirishe kabisa namimi natafuta mwingine aliye tayari sasa ukizingatia huyu binti kanicost sana,wala nisingependa kuendelea kupata hasara,hivo nae akasema nikurudishie pesa zako za kishika uchumba,nikamwambia nipatie,kweli akaamua kunipatia.
Baada ya kunipatia jana leo asubuhi kaniwahia mapema hata sijaamka kapiga simu akaniomba tafadhari nisimtaarifu mama yake ama wazazi wangu kwani anaweza kesho kutwa akaja na kuwa tayari kuanza maisha mapema.Sasa mimi najiuliza ana maana gani kama karudisha hata pesa za utambulisho,japo nimemgharamia kwa vitu vingi tu.
Ushauri please kuna subira hapa kweli,kwani miezi minne amekataa kwa jinsi tulivopatana.