no Mimi sijaokoka Bali nilikuwa nimeoa nikasafiri mda mrefu kurudi nikakuta make wangu ameolewa tena na jamaa mwingine wakati naanza maisha upya nikakutana na Dada mmoja mlikole aliyekuwa na ndoa miaka kumi bila motto na alienda kwa waganga Vila mfanikio akaamua kuokoka ndipo tulikutana katika mkutano Nairobi na baada ya mudavtukawa wapenzi na akazaa mtoto was kwanza na baadae akazaa was pili na kwa kuwa alikuwa na ndoa waliyokuwa wamwtengana ilibidi yule bwana aje kuniomba kuwa anampenda sana yule mwanamke na yupo tayari kuwachukua watoto na kuwalea kama wake.
ndipo nilipo kubali na kuamua kutafuta mlokole mwingine kwa sababu ya upendo niouona kwake.