"Nina mimba yako" ulivyoambiwa ulijisikiaje?

"Nina mimba yako" ulivyoambiwa ulijisikiaje?

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,379
Huu ujumbe mpenzi wako au yoyote yule uliyewahi kulala naye akikwambia huwa unajisikiaje?Maana kuna wengine hufurahi na wengine huchukia kulingana a mapokeo.
 
Nikiambiwa hivyo nawaza ni daktari nimtafute kwenye phonebook ya simu yangu ili amu abort
 
Nikiambiwa hivyo nawaza ni daktari gani nimtafute kwenye phonebook ya simu yangu ili amu abort
 
Duh umenikumbusha mbali sana, Asante Mungu binti yangu sasa yupo class Six. Nashukuru sikuchukua uamuzi mbaya
 
hahaha ngono zembe noma sana. Hakuna issue serious and so complicated in my life kama ya mtoto.

Was caught up in one of my stupid moments and adventures once, and i suffered big time. Had to meditate on the issue for a whole month, and finally when i came to peace with it, nikaambiwa eti 'nilikuwa nakutania'.

Nilifarijika sana cos nilipewa another chance ya kuwa na life i dream of, ila nilishikwa na hasira kinoma since nilishajindaa kuwa mshua sometimes this year.
Safe sex is the name of the game wazee, no joke.
 
As A,B,C in invariably followed by D..then sex without kinga should be invariably followed by conception..sasa ulitaka ujisikieje? Jisikie kama ulivyojisikia wakati unadownload wazungu kwenye soft-centre ya mwenzio, ebo!
 
As A,B,C in invariably followed by D..then sex without kinga should be invariably followed by conception..sasa ulitaka ujisikieje? Jisikie kama ulivyojisikia wakati unadownload wazungu kwenye soft-centre ya mwenzio, ebo!

Imagine mmekutana mwezi mmoja tu..then next month anakutext hivyo
 
.nilimwambia anitumie kwa m-pesa!

.kama kweli ni yangu mbona anakaa nayo yeye!
 
dah umenikumbusha mbali mkuu! ilinitokea enzi hzo niko form 6 baada ya kama miez 2 nmetoka likizo...ikabidi aniambie kwani licha ya shule kuzuia simu lakini wagumu tulizitumia tu kwa siri!...nilitaman ardhi ipasuke afu kesho yake tulikuwa test,yaani sitasahau that moment!
 
dah umenikumbusha mbali mkuu! ilinitokea enzi hzo niko form 6 baada ya kama miez 2 nmetoka likizo...ikabidi aniambie kwani licha ya shule kuzuia simu lakini wagumu tulizitumia tu kwa siri!...nilitaman ardhi ipasuke na kesho yake tulikuwa na test,yaani sitasahau that moment!
 
huu uzi mtamu sana,ila naona watu wanaukwepa sana.
 
Back
Top Bottom