Kwa akina dada/mama - wababa someni mkawashauri wenzi wenu

Kwa akina dada/mama - wababa someni mkawashauri wenzi wenu

Da Asia

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2011
Posts
731
Reaction score
819
Mume kakutuoa "OUTING" kwa kinywaji and maybe nyama choma. mmefika mnakutana na washkaji wa hubby / mchepuko, hivyo mmeamua kushare meza, kama kawaida maongezi yananoga, ubishi wa kilevi unaanza. Bila soni mtoto wa kike busy kumponda mume / mchepuko una support wale marafiki wa mumeo. Aisee, wewe kama ni wa kwangu tukirudi nyumbani kipondo kitakatifu lazima ukipate.

Sisters, mume anaweza kubisha pumba wewe kama wife/mchepuko/girlfriend ni lazima kum support kwa pumba zake kwa hali yoyote ile ili kumstiri. Mkifika nyumbani sasa, ndio unaweza ukamwambia "mmhh, lakini na wewe pale D ulichemka lol niliamua kua na wewe maana nimeona umezidiwa"

Lakini sio na wewe umejiunga uko busy umehamia kundi na wale washkaji wa ulevini ambao hata ulikua huwajui. Kingine muhimu ambacho tunakisahau. kama D wako yuko Yanga na wewe kidogo unapenda mpira, kama ulikua Simba / Azam FC, samahani itabidi uhamie Yanga, ili muende sambamba siku Yanga ikifungwa.

Sio Yanga imefungwa wewe uko Simba halafu unaanza mashambulizi, aisee utabondwa. kama yuko Man U na wewe hamia huko huko ili kunusuru ndoa / uhusiano wenu. Nimeleta hizi mada 2 kwenu maana nimeshaona mahusiano yakienda mrama kwa sababu ya haya mambo madogo ambayo mwanamke ukijishusha au ukim support mwenzio wala huna hasara zaidi ya kudumisha uhusiano.

Ijumaa Kareem
 
Sasa io inanitokea mara nyingi kubishana na mim ndo zake lakin sio ulevini hapa hapa hom wakija wageni au ndugu sasa mi namlipia kimyakimya naenda nachepuka afu namnyima hela ya kusuka adi leo anachana tu minywele yake ka jini
 
Back
Top Bottom