Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hlw habare zenu wakubwa heshima kwenu n madogo mambo vp mm ni kijana mwenye miaka 22 siku moja wakati npo mtaani nikakutana n binti ambae nilivutiwa nae n nikamuomba namba yke akanipa then...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 25. Naishi mwanza. Natafuta msichana (specifically) mkristu ili kusiwe na hitilafu kwa ajili ya dini. Ili awe mchumba wangu na baadaye mke. Sifa za...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Niliwahi kuwa na mwanazuoni mmoja wa dini fulani akasema kwenye dini yao utajiri hauishii kwenye mali bali familia kwa maana ya mke na mume na watoto. Mtu anapomisi kitu kimoja wapo hapo uhesabika...
13 Reactions
181 Replies
23K Views
Natafuta mchumba awe na umri kuanzia 18-21 na awe na elimu yoyote ila awe anajielewa na kujiheshimu nipo mkoani huku ukiridhia tutakwenda sawa.
0 Reactions
0 Replies
886 Views
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 28 mwenye hofu na mungu, ni mrefu wa wastani, maji ya kunde na mwajiriwa. nafuta mwanaume age 28-40 mkristu anayependa dini na anaye jua nn maana ya mke na...
11 Reactions
139 Replies
40K Views
Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 26 nahitaj girlfriend 18-23.Akitokea Arusha au Moshi itapendeza zaidi, sichagui dini wala kabila. Alie serious ani pm
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimeichukua hii toka kwa Michuzi. Tafadhali naomba uniwekee wazi maombi yangu haya. Nina umri wa miaka 35 nikisoma na kufanya kazi hapa Marekani. Natafuta mchumba( dada wa kitanzania) kokote...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Mm ni mwanaume nina miaka 24 najua huku wapo wasichana warembo wenye tabia njema mm mtaan ni mpole sana so chance nakosa pia npo bize na kazi.....vigezo umri chini ya miaka 22 kabila sichagui...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Kwakweli haka kabinti ni kazuri sana na nimekuwa nako kama mwaka sasa. Sasa hivi kananiambia kamepata mchumba kwani nami pia nina mke. Uroda kanaendelea kunipa ila ikifika jumamosi sikaoni tena...
0 Reactions
63 Replies
6K Views
Jamani wana Jf natafuta boyfriend lakini awe serious na relation.
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Kwavyovyote, tunajua kabisa mwanamke au mwanaume hataweza kutegemea mwenzake ambaye ana hasira kwa wakati ule aweze kufanya mapenzi yenye hisia kubwa na kuridhisha. Ndipo hapo tunapoona kwamba...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa maandiko na tulivyokaririshwa mwanamke ni mtu wa huruma lakini hali naona kama iko tofauti sana Tanzania. 1.Kubambikia wanaume wa ndoa mimba za michepuko hii imekuwa kawaida sana...
7 Reactions
32 Replies
5K Views
Naibu Waziri wa Afya wa Serikali ya Mapinduzi, Mahmoud Thabit Kombo ameitaka jamii kubadili utamaduni na kumshikirisha mwanamme wakati mke wake akienda kujifungua ikiwa ni sehemu ya kuhakikisha...
4 Reactions
61 Replies
6K Views
Habari zenu wana jf, Natafuta marafiki wa kuchat jinsia zote me/ke.Umri miaka 20-40, kwa aliye tayari ani pm.
0 Reactions
53 Replies
5K Views
Mama yako mzazi ana ki nokia tochi cha mwaka 47, tena alikinunua mwenyewe kwa pesa zake baada ya kuuza mahindi/mpunga kama yuko kijijini au maji/barafu kama yuko mjini. Mchepuko wako umeununulia...
6 Reactions
27 Replies
4K Views
Nimekuwa single kwa mda mrefu now nahitaj rafiki wa kike ambaye yupo tayari kuwa mke wangu siku za baadaye. Awe mkristo(umri had 26) elimu yoyote ,aliyepo Mbeya ,Iringa na Dodoma atapewa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ladies and gentlemen, Hivi inakuaje mtu unaanza kuropoka ropoka. kwa wenzio jamani mhmh. Bora ingekua in negative side labda unaomba ushauri Nop!. NI mazuri tu na yanakufurahisha. Ni hivi kuna...
0 Reactions
50 Replies
9K Views
Jamani ndugu zangu wapendwa katika bwana leo naombeni tulizungumzie hili swala la kumsifia mwanamke (mpenzi wako) hasa katika upande wa uzuri wake kwa sura. Mimi binafsi mara nyingi huwa sipendi...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Wadau nahitaji msaada wenu, Mimi ni mwanafunzi niliemaliza diploma mwaka huu katika chuo x pia jina langu ni x kunasiku nilisafir kwa ajili ya mambo flan flan katika mkoa x wakati narudi kwenye...
1 Reactions
53 Replies
7K Views
Salaam, Naomba nizame direct kwa topic. Nina garl ambaye tulifahamiana tangu mwaka 2009.Tukawa marafiki urafiki uliendelea vizuri.Mawasiliano yakamea nyumbani kwangu alikuwa anafika na mara...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Back
Top Bottom