mwanzo wetu
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 1,587
- 466
Me najishangaa nowdays hisia zimehamia kwenye ulimi najikuta nasahau kuingiza nyoka shimoni nabaki kutumia romace.
Hivi hii inatokana na kitu gani wenzangu? Mwenye kujua nini inasababisha hali hii aniambie.
Ushauri tafadhali
Hivi hii inatokana na kitu gani wenzangu? Mwenye kujua nini inasababisha hali hii aniambie.
Ushauri tafadhali