Somo kwa akina dada wa kileo

Somo kwa akina dada wa kileo

Man Mudi

Senior Member
Joined
Oct 13, 2014
Posts
159
Reaction score
114
Ukijaliwa kuwa msichana mzuri na mrembo,usidhani utatetemesha kila mwanaume,kuna wanaume na akili zao kichwani,urembo wako hauwasumbui,kama bichwa lako ni kanyaboya,uzuri wako hausaidii kitu,na utashangaa no one is paying attention,watu utakaowapata ni walewale kanyaboya wenzako,na hawana futuretabaki unaliwa bure kila siku unatoa macho.

Ukipata mwanaume anakupenda unaanza drama zako na kupiga watu danadana,madai yako hujali na unadhani hata akiondoka utapata mwingine kisa wewe ni mzuri,la hasha! Mwanaume akijitoa mhanga kukupenda kwa uzuri wako mheshimu.

Maana viumbe wa kike wakiwa wazuri ni shida na matatizo hakuna mtu anataka,sasa ukimwongezea na drama pamoja na yeye kujigeuza mpalestina kwako utajikuta umeolewa na kioo cha chumbani kwako,maana hicho ndo kinakudanganya sana kwamba we ni mrembo,watch out,drama zina mwisho,leo unacheza na mioyo ya watu unajiona we kifaa,usidhani wanaume hawaumii,tunaumia sema hatusemi tu,machozi yetu kama ya samaki,tunalia ndani kwa ndani
.
 
Wanawake wanaojisikia au kujiona wazuri kwa kigezo cha kutongozwa kila kukicha inawagarimu sana hii. Unapata mtu wa maana unamsumbua Na stress kibao
 
Na ndio maana wanake wengi walio olewa ni wakawaida sana Utakuta jitu tajiri kweli mkewe sasa.
Wanake wazuri ni wazuri kwa disco 2 Papuchi sasa sugu au teen
 
Wanawake wanaojisikia au kujiona wazuri kwa kigezo cha kutongozwa kila kukicha inawagarimu sana hii. Unapata mtu wa maana unamsumbua Na stress kibao

Huwa mnakosea sana, mi huwa nawajibu hivi hilo ni dua la kuku. Ni ipi tafsiri ya mtu msumbufu kwenu? Eti mtu asikukatae kisa anaogopa kuambiwa anaringa khaa what a real selfishness?. Ndio wewe umempenda je ushawahi kujiuliza kuhusu hisia zake kwako?
 
Mkuu Ni Kweli Kabisa.Ukihitaji Mwanamke Tafuta Yule Mwenye Uzuri Wa Wastani.Lakini Hawa Wanaojifanya Wazuri Kama Malaika Ni Wakuuzia Sura Siku Mbili.Siku Ya Tatu Tupa Kule.Coz Karibia Wote Ni Pasua Kichwa
 
Ahsante kwa kuwaeleza mkuu, mwenye akili na aelewe. Wakijiangalia kwenye vioo na mtaani wanapita vijana wanawapigia miluzi kila akitembea mita mia anajiona hakuna kama yeye kumbe sivyo. Wakijaga kujitambua wakati mwingne wanakuwaga washachelewa wanaanza kuhaha
 
ok haya ni katika majukumu yetu ya kusaidiana lengo waanze kubadilika na kujifaham zaid
 
Mkuu Ni Kweli Kabisa.Ukihitaji Mwanamke Tafuta Yule Mwenye Uzuri Wa Wastani.Lakini Hawa Wanaojifanya Wazuri Kama Malaika Ni Wakuuzia Sura Siku Mbili.Siku Ya Tatu Tupa Kule.Coz Karibia Wote Ni Pasua Kichwa

Yah ni kweli ila kikubwa zaidi wapunguze maslahi pamoja na anasa
 
Japo mabinti watakasirika hapa ila kuna ujumbe mzuri kwenu... ni kwa nn wazuri wawe wa kutoa shootingi, matangazo ya video na MATUMIZI YA BINADAMU TU?? Kwa sehemu kubwa ikifika suala la ndoa naona wanakimbiwa sana, na wanao olewa kwa sehemu flani ndoa haidumu. Kuna tatizo flani kwa baadhi ya wanawake ambao hujiona wazuri.
 
very true mkuu kwa kias kikibwa dada zetu wamekuwa wa kutumika zaid kwa starehe ama maslahi(matangazo) na imekuwa ngumu saana kwa ndoa wanaume wengi wamekuwa kama washika rimoti wao kubadilisha steshen tu hali ya kuwa anajua yupi kwake sahihi huku kwingine huwa anapita tu dada zetu kuweni makini kuyaepuka haya
 
Back
Top Bottom