Poleni wadau na majukumu.
Naomba tujadili kidogo umuhimu wa marafiki kwenye mahusiano yenu.Kuna faida au hasara ya kuwashirikisha baadhi ya mambo yenu kama kutatua matatizo yenu pindi mkigombana...
Nilikuwa katika mahusiano na msichana wa kidato cha kwanza hapo mimi nilikuwa kidato cha pili katika shule hihyo but alinipenda sana na mahusiano yetu yalijulikana shule nzima lakini nimewahi...
Heshima kwenu Jf,
Kutokana na hali na mienendo ya mahusiano ya sasa kutokuwa na uaminifu ndani yake,aidha uhusiano wa kimapenzi au ndani ya ndoa.Je, kuna umuhimu wowote wa kumjua X wa...
Wakuu,
Mwagikeni hapa eti ni wapi zaidi kati ya michepuko au kwa yule ulie nae kwenye ndoa? Yupi anakuchanganya na kwanini? Mwenye uzoefu na hii mambo atujuze.
Amani upendo na mshikamano kwenu wanajamvi,
Msemo wa "no means no" umekua maarufu duniani kote kwasasa kama slogani maalum kwa ajili ya kupinga vita vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia na...
Unakuta mwanamke anaumbile dogo lakini mwanaume kapaa hewani, bonge la mtu alafu baunsa,wakati wa sex mwanamke anambeba bila wasiwasi wowote kama kikaratasi tu.Lakini mwanamke akilala juu...
Una rafiki yako mnapendana sana to death Unapimaje unayoongeanaye? Au group lako mnalosaidiana kwa shida na raha unawezaje Kupima unayoongea kuhusu mahusiano yako? Na wasichana wanapokuwa pamoja...
I did reasonably well in my 30's, I got married, had my first child soon after, are you, mzabzab? Did my post graduate studies and my professional accreditation, am semi- professional though...
Naweza kutangaza janga la kitaifa kwa vijana. Niisaidie tu serikali maana naona ipo kimya na watu wanagugumia na maumivu no wonder why familia nyingi hazina amani,kumbe ni matumizi ya muda mrefu...
Habarini wadau,
Sinauhakika kama ni jukwaa husika. Lakini nilikua napenda kujuzwa tu kua ni kweli kwamba mtu mwenye blood group O si rahisi kupata ugonjwa wa UKIMWIi? Hapa mtaani kuna binti...
Rafiki yangu ni playboy mzuri tu, si hapa dar tu anapokaa, lkn pia hata sehemu mbalimbali za mikoani anazoenda ni yeye na mademu mademu na yeye.Nimemuuliza kitu kimoja ambacho kimenishangaza...
Habari wakuu wa jukwaa hili natumai muwazima,
Kwa kawaida kwa tulioko katika mahusiano ama hasa wale walio katika ndoa wengi wetu tunaona kua kila seavice ni jukumu la mweza wako kukufanyia kumbe...
Jambooo JF??
Ni hivi asubuhi limetokea tukio la kufurahisha ila ni la kujifunza kitu fulani!!
Tukiwa tumesimama barabarani nje ya ofisi naagana na mgeni, kulikuwa kuna watu wawili mwanamke na...
Nimekuwa nikijiuliza hivi mahusiano na mtandaoni huwa yana matunda kweli?Kama mitaani imeshindikana huku inawezekana vipi??Mashuhuda watujuze tafadhali.
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mtaani kuna dogo mmoja kana 23yrs tu, kanaitwa K, ila ni malaya malaya mbwaaa, hafai hata kwa mbolea. Nimewaletea...
Habari wakuu
Wakuu nikiwa nakaribia umri wa miaka 25, nimefanya maamuzi magumu nimeamua kwamba sitaki kuwa na mke kwa maisha yangu yote, ila nataka kuwa na watoto wawili, mmoja wa kiume na...
Ili uishi kwa amani na mme wako fuata sheria hii.Sheria namba moja ni kuwa mwanaume hakosei kama mwanaume atakosea rejea sheria namba moja.Wanawake mkiitumia hii sheria ipasavyo mtaishi kwa amani.
Mmezidi uvivu sasa, mtu unaamka asubuhi with alot in your mind to face the rest of the day ndio kwanza mwenzako yeye anacheza game kwenye simu.
Mnaboa,badilikeni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.