Ligogoma
JF-Expert Member
- Aug 27, 2010
- 3,502
- 6,460
Jambooo JF??
Ni hivi asubuhi limetokea tukio la kufurahisha ila ni la kujifunza kitu fulani!!
Tukiwa tumesimama barabarani nje ya ofisi naagana na mgeni, kulikuwa kuna watu wawili mwanamke na mwanaume wanakuja kwa mbele yetu wanaongea kwa furaha tu!! Mara mwanamke akapokea simu, kilichoongelewa hatuelewi lakini ghafla mwanaume akaanza kumshambulia mwanamke kwa mangumi na mateke!!
Kati yetu hakuna aliyeweza kuuliza au kuongea chochote coz lilikuwa ni tukio la muda mfupi sana ila kwa kujishtukia jamaa ikabidi aanze kuongea kabla hajaulizwa....!!
Akasema (huku kama anatufokea)....!! "wanawake wengine bwana.....!! Huyu ni mke wangu kabisa, lakini ana michepuko yake....!!! Niko nae hapa lakini yeye kapokea simu halafu anasema yuko waapi sijui....!!!"
Kwa akili ya haraka tukagundua kumbe yule mwanamke alipokea simu then akawa anamdanganya anayeongea nae kwenye simu mfano upo Kigogo the ukapokea simu ukamwambia unayeongea naye kuwa upo Kariakoo.
Wangapi mshafanya haya mambo mbele ya wapenzi wenu? Waliwachukulia hatua yoyote au ndo walipotezea??
Je, mpenzi wako akaongea namna hiyo mbele yako utamchuliaje?? anastahili adhabu??
Nawasilisha