mkada
JF-Expert Member
- Nov 14, 2011
- 1,200
- 909
Rafiki yangu ni playboy mzuri tu, si hapa dar tu anapokaa, lkn pia hata sehemu mbalimbali za mikoani anazoenda ni yeye na mademu mademu na yeye.Nimemuuliza kitu kimoja ambacho kimenishangaza kidogo,swali nililomuuliza ni kwamba mchangudoa wengi anao wapata kwenye madanguro na barabara za kujiuza wanatoka mikoa gani?Jibu lake ni kwamba kuanzia ambiance pale corner bar,kuja meeda,kuelekea calabash mwenge na sun ciro,asilimia kubwa ya mademu anaowazoaga wanatoka kama sio Arusha basi Moshi,ni wachache sana wanatoka mbeya,dodoma,iringa na moro,hata bukoba ni wachache pia.Nikamuuliza we unajuaje kama wanatoka maeneo hayo?,akasema yeye anapo opoa milupo huwa hawatreat kama milupo kiivyo,huwa anawatreat with respect,ambapo huishia kuanzisha urafiki na story za maisha na hatimaye kujua maeneo wanayotoka,na saa ingine lafudhi zao pia humsaidia kujua.......Swali langu wana JF kama ni kweli huyu rafiki yangu anachokiiongea,nini chanzo changudoa wengi watoke mikoa ya Arusha na Moshi?