Alinipenda sana ila amebadilika

Alinipenda sana ila amebadilika

marko maluli

Senior Member
Joined
Mar 14, 2015
Posts
164
Reaction score
49
Nilikuwa katika mahusiano na msichana wa kidato cha kwanza hapo mimi nilikuwa kidato cha pili katika shule hihyo but alinipenda sana na mahusiano yetu yalijulikana shule nzima lakini nimewahi kumfanyia mambo mengi ambayo sio mazuri lakini alivumilia.

Nilipo fika kidato cha nne ilitokea zali moja kubwa sana nilimpa ujauzito na akaachishwa shule, huku mimi nilikuwa bado naendelea na masomo ilipo fika wakati wa kujifungua binti huyo mimi ndio nilikuwa naingia
kwenye chumba cha mtihani but alijifungua salama lakini kwa bahati mbaya mtoto ulimkuta umauti.

Nilifanikiwa kumaliza mitihani yangu na kujiunga chuo huku yeye bado nawasiliana nae lakini kumbe alikuwa na jamaa mwingine baada ya mimi kurudi chuo niliona mabadiliko na alikuwa anaujauzito tumboni, alizaa tena mtoto akafa na huyo mwanaume mwingine.

Niliamua kumuambia ukweli kwamba aendelee na jamaa yake kwani sipendi ugomvi kati yangu na huyo mwanaume cha kushangaza hivi juzi kanitafuta na namba ngeni na kuniambia mimi ni mpenzi wake lakini ataendelea kuwa na yule jamaa wake lakini mimi nilikataa.

Naombeni ushauri
 
nilikuwa ktk mahusiano na msichana wa kidato cha kwanza .
..hapo mim nilikuwa kidati cha pili ktk shule hihyo but alinipenda....
sana na mahusiano yetu yalijulikana shule nzima lkn nimewahi kumfanyia...
mamb meng ambayi co mazur lkn alivumilia
nilipo fika kidato cha nne ilitokea zali moja kubwa sana
nilimpa ujauzito na akaachiahwa shule huk mim nlikuwa bado naendelea na masono
...ilipo fika wakat wa kujifungua bint huyo mim ndo nlikuwa naingia
kwenye chumba cha mtihani bt alijifungua salama lkn kwa bahat mby mtoto ulimkuta umauti
nlifanikiwa kuoass mtihan wangy na kujiunga chuo huku yey bado nawasiliana nae
lkn kmb alikuwa na jamaa mwingne ..baada ya mim kurud chuo nliona
mabadiliko na alikuwa anaujauzto tumboni....alizaa tena mtoto akafa(mwanaume mwingne)
niliamua kumuambia ukweli kwamba aendelee na jamaa yake kwani cpend ugomvi kt yangu na huyo
mwanaume
cha kushangaz hv juz kanitafuta na namba ngeni na kuniambia mim ni mpenz wake
na anadai aendelee kuniira molpenz wake lkn mim nilikataaa
NAOMBEN USHAULI NIFANYAJE?

Sahihisha kwanza ulicho andika, andika yako ni Shida...vinginevyo utatuchefuwa
 
Anyone got a dictionary on gobbledygook please??sasa weye mutu kwanza chuo gani ulienda kwa shule ya form four?
Kama umeshakataa unataka ushauri wa nini tena wakati maamuzi ushafanya?
 
Mtafute Diamond Platnum barafu ya moyo ya warembo...!
 
Capt Nemo

Ananisumbuaa san ndo maana nimeomb ushauribt that iz typing error....diploma ndonilienda kusoma
kwan kidato cha nne nlipiga poa nikaamua nicpite kidati cha tano na sita
 
Last edited by a moderator:
Kwanza inaonekana nyie ni wale mnaosumbua wazazi. Husomi umekalia mapenzi shuleni mwish wa siku unafeli shule hovyohovyo.

Hakuna chuo cha kumaliza form four isipokuwa vile vya utalii na hotel managementi maana waliofeli kama wewe ndo wanaenda huko.

Ulichokiandika kinasadifu akili zako. Kazana kusoma achana na mapenzi hiyo certificate unatakiwa upate GPA nzur ili uweze kuendelea diploma la sivyo utaishia kuwa sharobaro kama ulivyo saiv.
 
ananisumbuaa san ndo maana nimeomb ushauri



bt that iz typing error....diploma ndonilienda kusoma
kwan kidato cha nne nlipiga poa nikaamua nicpite kidati cha
tano na sita

Poa dogo..akiendelea kukusumbua mwambie utanshirikisha bwanake huyo mwingine ili ajue jinsi ya kumhandle demu wake...wewe achana nae asikushawishi kivyovyote
 
Kwanza inaonekana nyie ni wale mnaosumbua wazazi. Husomi umekalia mapenzi shuleni mwish wa siku unafeli shule hovyohovyo.

Hakuna chuo cha kumaliza form four isipokuwa vile vya utalii na hotel managementi maana waliofeli kama wewe ndo wanaenda huko.

Ulichokiandika kinasadifu akili zako. Kazana kusoma achana na mapenzi hiyo certificate unatakiwa upate GPA nzur ili uweze kuendelea diploma la sivyo utaishia kuwa sharobaro kama ulivyo saiv.
najua huwez amin na huto amin kama mim nimepiga diploma ya udaktari
 
Kwa uandishi huu nina hofu hata kidato cha nne bado hujafika
 
Back
Top Bottom