Is it true “no means yes” for most women?

Is it true “no means yes” for most women?

DOGofGOD

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2015
Posts
1,341
Reaction score
480
Amani upendo na mshikamano kwenu wanajamvi,

Msemo wa "no means no" umekua maarufu duniani kote kwasasa kama slogani maalum kwa ajili ya kupinga vita vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia na ubakaji miongoni mwa wanawake (anti-rape slogan).

Wanaharakati wa kupinga unyanyasaji wa kinjinsia na vitendo vya ubakaji kote duniani wanapinga vikali mtazamo wa wanaume walio wengi kua kwa wanawake walio wengi kwao "no means yes".

Wanaharakati wanataka kuona kua msemo wa "no means yes" unapigwa marufuku kwasababu unachochea vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia na ubakaji kwa wanawake.

Wao wanasisitiza kua msemo wa "no means no" au kinyume chake "yes means yes" utumike kama slogani ya kuimiza makubaliano thabiti kati ya mwanamke na mwanaume ili kupunguza vitendo vya ubakaji na unyanyasaji.

Hoja hii ya wanaharakati inapingwa vikali na bahadhi ya wataalamu wa maswala ya jinsia na mahusiono na asilimia kubwa ya wanaume.

Kwa wale wanaoutetea msemo wa "no means yes" wanadai kua katika maswala ya mahusianio sio kila wakati "No means No" kuna uwezekano mkubwa kua wakati mwingine "no can actually means yes".

Kwa mfano utafiti uliofanyika nchini Australia ulionesha kua mwanaume 1 kati ya 6 wanaaamini kwamba wanawake walio wengi wanaposema "no" uwa wanamaanisha "yes".

Utafiti unaonesha kua karibia asilimia 40% ya wanawake waliolalamika kubakwa waligundulika kua waliwaruhusu wenyewe wanaume lakini baadae kwasababu flani ndio waligeuka na kudai kua walibakwa.

Na asilimia 24% ya wanawake walikubali kua kama mwanamke akikubali mwenyewe kuingia mpaka chumbani na mwanaume peke yake basi ni kosa lake mwenyewe kama akibakwa.

Utafiti uliofanyika nchini Ujerumani unaonesha kua hata sheria za kimahakama katika mazingira flani "no" inaweza kutafsiriwa kama "yes".

Mbakaji mmoja nchini ujeruamni aliachiwa huru na mahakama japo kulikua na ushahidi wa sauti kutoka kwa mwanamke aliembaka akisikika akipiga kelele "no no no".

Kwasababu sheria za ujerumani zinatafsiri kosa la ubakaji kua ni lazima lihusishe na matumizi ya nguvu au vitisho.Lakini kupiga tu kelele "no no no" peke yake hakutoshi kuthibitisha kosa la ubakaji.

Wanaume wengi walioojiwa wanadai kua ni jambo la kawaida na wanalolitegemea kwa wanawake kuonesha ugumu.Ugumu miongoni mwa wanawake unatafsiriwa kama heshima.

Na hii ni kutokana na malezi na utamaduni uliozoeleka katika jamii zetu.Kwahiyo ni jambo la kawaida na la asili ya mwanamke kusema "no" lakini mara nyingi uwa inamaanisha "yes".

Wanawake wengi wanatafsiri mapenzi kama jambo wanalofanyiwa lakini sio kama jambo wanaloshiriki kulifanya na mwanaume ndie anaonekana kama muhitaji mkuu.

Kwahiyo mara nyingi wanawake wanakua hawako huru kuonesha waziwazi hisia zao kua wanahitaji hata kama ni kweli wanahitaji na wengine wanafikia hatua mpaka ya kudai malipo kabla ya kukubali kushiriki.

Wewe kwa maoni yako unaonaje ni kweli wanawake wakisema "no means yes" au "no means no"?


N.B:<Changia mada usimchangie mtoa mada>
 
Kiepe yai nashukuru kwa maelezo yako yaliyoenda shule na yenye mashiko kutokana na reference ya sehemu na mazingira tofauti..Ni ngumu sana kuihakikishia mahakama kuwa no ya mwanamke inamaanisha yes..

tukilichukulia hilo kama lilivyo mwanamke akisema "yes" na akabakwa anaweza akawasilisha utetezi wake kwa kusema "nilimkatalia mwanamme kwa kusema yes"? (maana kama no means yes then automatically yes means no).

Nadhani wanawake karne hii wanajitambua na wanatambua wanachokitaka..mimi for one mwanamke akisema no nitamchukulia kakataa!!!!
 
Kiepe yai nashukuru kwa maelezo yako yaliyoenda shule na yenye mashiko kutokana na reference ya sehemu na mazingira tofauti..Ni ngumu sana kuihakikishia mahakama kuwa no ya mwanamke inamaanisha yes..tukilichukulia hilo kama lilivyo mwanamke akisema "yes" na akabakwa anaweza akawasilisha utetezi wake kwa kusema "nilimkatalia mwanamme kwa kusema yes"? (maana kama no means yes then automatically yes means no).

Nadhani wanawake karne hii wanajitambua na wanatambua wanachokitaka..mimi for one mwanamke akisema no nitamchukulia kakataa!!!!

Mkuu umejaribu kujenga hoja vizuri.Lakini sikubaliani na wewe na hiyo generalization yako ulioifanya.<kama no means yes then automaticaly yes means no>.Hii sio sahihi

Kwa uelewa wangu Yes uwa haina utata wa tafsiri.Mwanamke akisema Yes always "Yes means Yes".Na hawezi kuwasilisha utetezi mahakamni akidai alimkatalia mwanaume kwa kusema Yes.Cause there is no "Yes that implies No"

Utata upo katika No.Kwasababu No ya mwanamke inaweza kua kweli inamaanisha No<No means No>.Lakini wakati mwingine No inaweza kumaanisha Yes<No means Yes>.Ndomana mwanamke anaposema No peke yake hakufanya kua ushahidi wa kutosha kuthibitisha kua kweli alikua anamaanisha No.Lazima kuwe na ushahidi mwingine wa ku support hiyo No yake.
 
Kutongoza wanawake wasomi au wenye nafasi ni psycholojia ya kiume tu hutumika.

Kumwelezea nia yako ni sawa na kumchinja kuku lazima achinjwe though atasumbua mwanzoni.

Nimekuwa na sera kuwatongoza wanawake wasomi na wenye nafasi zao, wengine ni viongozi, wao, kw asilimia kubwa hudhamini show, hulipia hoteli.

Nimetokea kuwakimbia wengine, niligundua wengine kutongozw ni zali la mentali. Husema tu No, lkn wao YES tena yes kwelikweli.

wengi walioktk ndoa zao wanaambulia maumivu, ukimwekea msimamo mzur hatasita kukuhonga.

Kitaalam, yaani kiume kiume Mwanamke mtamu kama mcharo lazima aseme no, tena wkt wa shughili asunbue, Simba mnyama amezoea na anapenda kunyonga ale, ile ndio asili ya mwanaume kufukuzia mwanamke, lazima asumbue ndio raha ilipo.

Kitendo cha wanawake kukubali siku hizi ni mmomonyoko wa maadali, kama ilivyokumpunguzia rais madaraka, mwanaume amepunguziwa kazi na hapo ndipo maadili ya kike na kiume yalivyopotoshwa, huwez kumpunguzia mwanaume kazi ya kumpata mwanamke, Kusema yes ni mbaya
 
Back
Top Bottom