Ili uishi kwa amani na mme wako fuata sheria hii.Sheria namba moja ni kuwa mwanaume hakosei kama mwanaume atakosea rejea sheria namba moja.Wanawake mkiitumia hii sheria ipasavyo mtaishi kwa amani.
Wakati mwingine sisi wanaume tunazidisha
yupo jirani yangu ni chapombe haswa!!
akishalewa anajikojolea hadharani na mchana kweupe
sasa kuchojoa na mdhakari mbele za watoto na kina mama SIO KOSA
MWANAMUME HAKOSEI Sheria No 1
Sheria No 1 kuvaa kata K,
Sheria No 1 kupapaswa makalio USISAHIHISHWE
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.