lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
Wakuu,
Mwagikeni hapa eti ni wapi zaidi kati ya michepuko au kwa yule ulie nae kwenye ndoa? Yupi anakuchanganya na kwanini? Mwenye uzoefu na hii mambo atujuze.