Zee La Miamala, Mtoto Wa Kariakooo, Kiboko Ya Masista Duu Wa Uswazi

lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,700
29,116
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Mtaani kuna dogo mmoja kana 23yrs tu, kanaitwa K, ila ni malaya malaya mbwaaa, hafai hata kwa mbolea. Nimewaletea ishu yake ili wanawake tupunguze ubwelegeje maanake wanawake wengi wanapatikana na migume gume kama hii na kujikuta imeumia.

Mi chanzo cha kumfahamu K, niliambiwa kuna mtu anaitwa K, ana hela (Kimtaani ukiwa na kilo una hela, si unajua school is not reachable! wanawake wana mbwato kwa vikitu vidogo vidogo sanaa) yaani balaa afu ana kutaka. Mmmmh! Sasa napendelea ku fit in mara nyingi sipendi ku insult their generosity, manake ki wao wanaona wananipa bonge moja ya mchongo. Nikawauliza huyo K ana hela anafanya nini kinachomuweka mjini, hukawii kuambiwa dereva boda boda. Hahahahaaaaaaaaaaa! Nikaambiwa yuko kwenye Kamari hizi. Nikajua biashara hamna. Kumuona mtoto mdogo, nikataka kuipotezea juu juu.

Kilichoniuma wenzangu wakawa wanakula kwa jina langu, wanaenda kuchukua chips, kuku, wanadai mi nimeagiza, sasa akawa mkali hiii, iweje aagize vitu afu hanisalimii ikawa soo ndo ikabidi wanitonye niokoe jahazi. Nikawaambia coz nyie ni watu wa kuendekeza njaaa sio ishu! Huyu bwe.ge mtozeni mi nitamchuuza afu tunamchuna na chiu simpi vile vile. Kuliko nimbemende mtoto kama yule bora niukate nimpe mbwa biashara iishe that is how serious i am. Mmmmh! Wakaniambia K mtoto lakini mtataaaaaa, sio mwepesi kama unavomchukulia, kama vipi tusile vyake wala nini. Nikawauliza mlivokulaa mtavitapikaaa? Na alivo kinkong tukimkata ghafla atafanya revange tumchuuze tu tuone mwisho. Poa poa.

unawmita K kijiweni, wenzangu wanaagiza Safari na Kilimanjaro walewe fastaa, mi naagiza Savanah kumkomoa tu. Basi anawatumia sms huyu shoga enu anameza tu savanah zangu manake hata hasukutui siku nikimpiga miamala namla mpaka Tigo kumkomoa tu. Hahahahaaa! Savannah zinanywewa kama kawaida. Uzuzri wa K sio bahili mwenzangu kazi ya maana hana ila kukata laki, laki na nusu kulipa bili haimpi pressure, tena anawapa 10 kila mtu watu wa 4 wote za nauli. Hapo tuliwezanaaa. Mara 3, nikawaambia sasa bandugu hapa ya 4 tukienda atani tight mimi afu nyie muondoke. Wanaume wa Kiswazi mwisho mara 3 kuwa bwe.ge ya 4 lazima akupige miamala. Duuuuh! Kama kijukuu vile, demu wake akanitumia sms ya matusi ya nguoni. Nikampigia njoo kijiweni. Kaja na pensi anajua ngumi zitalika. Mtoto mwenyewe yuko form 2! Mxiuuuuuu! Nikamwambia tulia weweee, muite bwana wako, K akaja tukamwambiambele ya K, huyu K mdogo wetu anatupa ofa dada zake hatuwezi kumbemenda, ukitaka uwe na wewe unakujaaa! Ikawa K ndo kesha kosa chiu na kujivika ushemeji rasmiii.

Basi lilivo kauzu K lipo mi sijakata tamaa nakuja kivingineee ila ofa kama kawaidaa sema kama msela. Ndo kutupa inside story anavo vuruga mtaa na yanayomsibu.

Mtoto wa Jangwani, Yuko form 5, toto mashallah, alikutana nalo Mpesa akawapiga pepsi baridii na dada mtu, kila akilikuta chips yai mishkaki, likachukua namba n kuanza kuchat nae. Siku hio anamwambia niko Mbezi huko luisi mwisho unachukua piki piki mpaka karibu na wapi sijui nafuu uende kibaha tu, ndo kachukua chumba. Kwa kiu ya chiu akajikaza. Kufika kule wameingia room demu kavua K kavua nguo mtoto yuko smart kabana mchezooo, mpaka wapime! Tobaaaaaaaaa! Kakazaaa. Hapo ashaingi cost kibao karibi 80k, Daaah, mda kila kitu. Saa kumi na moja mpaka saa 3. akamwambia isiwe issue chukua mwkundu huyu mi nasepa. Anafika kariakoo saa 5 anamtumia sms ooh nimekuboa sanaa, sijui nini, nisamehe, blah blahblah.Akachuna siku ya siku toto likajichanganya ooo K naomba elfu 30 NINA SHIDA. akamwambia njoo Kariakoo nitakupa 50k. Kachukua chumba kachojoa kila kitu, dada kuja kama kawaida yake, kavua kaenda kuoga. K akawa hamuamini amaini Asha ngedere mda wowote ana change channel. Akaweka Laki juu ya meza kumpagawisha tu. Hahaaaa! Asha Ngedere kaingia Kingi katoa mechi ya kuzikwa mtu hai. Hahahahaa! Alivomaliza kumpiga miamala Asha Ngedere kwenye ile laki mezani kachukua 80k yakekatia kwenye suruali huyo kamuachia 20 elfu ukijumlisha ile shoti ya 10 alivobana mechi, 30, kama alivoomba hana deni na mtu. HAHAHAAAAAAAAAAAAAAAAAAA! Duuuuuuuuuuuuh! Kama unaona hii nyoko bado hujaona, cheki za chini.

Kuna mtoto mwingine alikuwa anamsumbua. Kamlia vitu sanaaaa. Yani balaaaaa. K kila mbinu anayotumia analiwa Kingi. Alipolalia K ndo demu kaamkia. Daaaah! Kwa mtu kama K ikawa matusi makubwa kwake. Na asivopenda kushindwa, anazidi kuwekeza, anazidi kuliwaaa. Akamla rafiki yake ili tu kumpanikisha ndo kwanza Betina kazidisha ushosti na rafiki yake wamchune vizuri K. Daaah! K tumbo joto. Hamad! Siku isio na jina akamjaribisha kumuita hotelini akakubali kiutani utani tu. Kuffika pale Betina kachojoa nguo zote kaoga tayri kwa mtanange, Kajilaza kabisaa. K akamuangalia kukumbuka alivofanywa jinga mda mrefu afu alikuwa anampenda kikweli, kamuangaliaaa, akamwambia geukaaa (basi mijicho imewatoka mnahisi keshaliwa mtu kiboga haoooo nimewafuma) mwenyewe anageuka sexy babe, hahaaa kamuangaliaaa, Kamtemea mate mwilini, akamwambia kunizungusha kote kule huna hadhi ya kuwa na mimi. Huyo kaishiaaaa. Daaah! Betina wacha afanye jaribio la kunywa sumu na ujanja wake wote. Ilikuwa kesi kitaa, basi akalipa fine 500,000 wakayamaliza kifamilia. Hii ndo kiboko ya masista duu wa uswazi. Hahahaaaaa! Kasusa mpaka muamala.

Mwingine mtoto wa Udom chuo, kamuona face book basi akaanza kumuimbishaa, kwa kuendekeza njaa sie wanawake hakukawia kutangaza njaa. Anampa tu 50, laki, demu anakula tuuu.Akaona kapata. Siku hio kampandia dau naomba laki 5. Mmmmmh! Akamwambia ondoa shaka, njoo dar nakugea 1m. Demu kesho yupo kwenye shabibi njiiiiiiiiiiim breki hapo Kibadamo. Kama kawaida kaweka 2m juu ya meza demu kapagawa si kitoto, K kampiga miamala siku 3, anamla kama dozi asubuhi, mchana jioni. Siku ya nne akamwambia nakujaa kachukua 2 m zake kasepaaa. Kamuachia Bili ya siku 3 alilipa ya siku ya kwanza tu, naulia alimwambia akope na hajamgea hata 10. Simu kambolck. Hahahahaaa! Sasa sijui dada alifanyaje. Hahahaaaaaaaaaa!

Toto la kiarabu, ndani ya Jahazi travetine kwa Mzee Yusuph basi anagombaniwa na Wapemba, waswhili watu kibao wanamgombani. K akaenda kumuuliza una simu? Akamwambia sina akamgea I pad. Nakupa buree. Hamjui hajawahi kumuona. Toto la kiarabu likapagawa likahamia mezani kwa K. Basi anapiga nayo picha, akaona ule mgodi atoe ushirikiano. Kariakoo Cate Hotel, Kampiga miamalaa weeeeeeee, basi dada kaingi kuoga kachukua I pad yake huyooo kachikichiaaa. Ndo ashamkopaa hivo mwarabu wa watu. Mmmmmh! Mxiuuuuuuuuuuuuuuuu! Atampata wapi?

Wanawake tuache njaaaaaaa. Kuendekeza njaa huku unaweza kujikuta unakopwa bila riba! Hahahahaaaa! Muwe Macho! THE BIGGER THE LIE THE EASIER YOU WILL BELIEVE HIM. Average Joe hoyeeeeeeeeeeeeeeee!
 
Hahahahahah...........umenikumbusha mbali sana. Kuna mdau wangu alikua radhi aache shati kwa kisingizio cha kufuata supu restaurant. Binti akija tahamaki ashawekwa kwenye call barring kitambo. Michezo hii nikikumbuka huwa nacheka sana.
 
Watu nomaaaaaaaaa!Afu kwa mikwara sasaaaa weeeeeeee. Watu kama hao uswazi wanawekewa sindano haisimami ngooooooooooooooooo! Hata uiimbie kasimama dede! Holaaaaaaaaa! Mpaka sindano ichomolewe ndo kitaeleweka.
 
Duuuu..... K ni kiboko ya viruka njia. Ni mwendo wa miamala kwa kwenda front. Kudaaadeki mxiuuuuuu!
 
Swahiba wangu mpk mala.ya wa ambiance wakimuona wanamkimbia. Mzee wa miamala na kuwaachia mashati na sandles gest. Mtaalam wa kukopa... teh teh teh
 
Watu nomaaaaaaaaa!Afu kwa mikwara sasaaaa weeeeeeee. Watu kama hao uswazi wanawekewa sindano haisimami ngooooooooooooooooo! Hata uiimbie kasimama dede! Holaaaaaaaaa! Mpaka sindano ichomolewe ndo kitaeleweka.
Sindano hizo hazina nguvu mbele ya shilingi, afu sio kwamba picha hizo unacheza na wanao kujua. Hizo picha wanachezewa wanaojidai majambazi. Huku usukumani watoto wa Karatu, singida, mbulu na arusha wanakula sana hela za mazombie ya kisukuma. Mmoja wao kuna siku kakutana na bwana pepsi, katelekezewa vest lodge na alichoambulia ilikua ugali-sato (2500) tena wali-share n bwana pepsi.
 
Mbona hiyo kawaida Lara1 unamchukua demu mnakubaliana nae kiasi kadhaa na bia kanywa za kutosha mkifika gheto unamwambia nimemaliza cash labda nikutumie mpsa,kama sio mjanja analiwa buree,hela inatumwa poa kabisa anaona sms 50,000/ndani ya phone,mtoto anaachia inavurugwa mpaka kunakucha,unawahi kutoka dizaine unawahi job ukitoka tu unacall voda nimekosea no nikatuma hela ndivyo sivyo,inarudishwa yote kimbembe kinabaki kwa mdada atakavyoenda kwa wakala.
 
Muraa nimekuwa lara1 tena unifanyie quotation?
 
Last edited by a moderator:
Huyu lara 1 bana hua ananifurahisha na hicho kiswahili chake. Yaan ningemjua siku namkuta kapata ajali nakula mzigo kwanza then ndo natoa msaada. Ila one day yes ntaokota dodo chini ya mwarobaini. Na hiyo michezo ya kuwekewa pini nlikua naustukiaga nkiona goma kibolibo kinakataa mnara basi namcheki kwenye nywele unakuta zile pini zao za kichwani ukitoa tu wayaaa kitu hichooo. Au mambo ya ndulele cjui na vitu gani haimo hyo
 
Location imehmaaaa! It is 2015 heloooooooooooow!!!!!!!!!!!!!! Inaitwa PORODEGE! times have changed so did the location.:lol:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom