Wana jf Nabisha Hodi mimi mgeni huku

Wana jf Nabisha Hodi mimi mgeni huku

Kageo

Member
Joined
Jan 13, 2014
Posts
34
Reaction score
8
Jamani Nabisha hodi mm mgeni kwenye Jukwaa hili ingawa nimekuwa nasoma mara kwa mara Jukwaa hili ninafurahishwa sana na maada na michango mbalimbali ya wana Jf.Bila shaka mtanipokea nategememea majibu ya Kila aina
 
Karibu bana. Ila huku usimuamini mtu ukala bila gloves
 
Uko sahihi hapa unatakiwa hata mwenyewe usijiamini
 
Karibu sana ila please jibu maswali yetu ili tuende sawa we ni she or he!
 
karibu, hapa kuna kila kitu kizuri na kuna kila kitu kibaya, so wewe tu kuchagua!
 
Kuna kamchango ka pesa unatakiwa umkabidhi miss CHAGA hope ushafanya hivyo.
 
Last edited by a moderator:
Mimi ni "he" kuhusu mchango nadhani tayari
 
Powaaa nashukuru nitajitahidi kuchanganya na zangu
 
Tuma kiingilio mkuu, la sivyo maisha yako yatakuwa magumu sana hapa jukwaani.
 
We una umri gani kwani?una wapenzi wangap?na una sh ngap ban
 
Jamani Nabisha hodi mm mgeni kwenye Jukwaa hili ingawa nimekuwa nasoma mara kwa mara Jukwaa hili ninafurahishwa sana na maada na michango mbalimbali ya wana Jf.Bila shaka mtanipokea nategememea majibu ya Kila aina[/QUOT


Karibu sana huku jf kunafurahisha lkn panataka moyo kuna kale katabia ukileta uzi wa jiran hawakawii kukuambia ni wako katabia kanaudhi haka bas tu
 
Basi hayo ndio nayapenda unajua tupo tofauti
 
Back
Top Bottom