Jamani wana jamvi naomba ushauri wenu,
Kuna dada nilikuwa na mahusiano nae na tukakubaliana tutaoana tukimaliza chuo. Kwa bahati mbaya yeye kakwama kuendelea na chuo.Hivyo kaamua kupotezea suala la kuolewa. Ukweli wa moyoni nampenda sana japo tulikuwa tunatofautiana hapa na pale.
Ushauri wako ni muhimu sana kwangu