Mke anatafutwa hapa

Mke anatafutwa hapa

Mwalimu-Mkuu

Member
Joined
Feb 22, 2013
Posts
75
Reaction score
205
Nina umri wa miaka 29,nina elimu ya Shahada,mkristo.Natafuta mchumba awe na umri wa miaka kati ya 20-27,mwenye upendo wa dhati,mcha Mungu(Mkristo) mengine tutayajadili baadaye.

Kama unavigezo na uko tayari tafadhali ni PM.

Asanteni
 
Back
Top Bottom