Kwanini wasichana wangu wa zamani hawaolewi?

Usedcountrynewpipo

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
3,636
Reaction score
2,734
Nimekuwa nikijiuliza sana hili swali bila kupata majibu.
Je nilikuwa natoka na ma girlfirend wasio na viwango vya uzuri na u wife materials?
Au baada ya kupigana chini, hawakupata Mcharo mtamu kama mimi na wanaendelea kusaka?
Au wanasubiri wakijipa moyo kwamba huenda I will come back one day.
Au labda niliwaachia nuksi baada ya kutemana nao?

Kwa kweli wasichana wangu wa zamani walikuwa ni watu wema, sema ndio ile mwenyezi Mungu hakupenda kuhitimisha penzi letu kwenye ndoa na mahusiano kuvunjika.

Lakini kutoka moyoni huwa nawaombea msichana wangu wa zamani wapate waume bora. Sasa naona kama vile maombi yangu hayapati majibu fasta fasta.

Wana JF, naombeni mnijuze kwanini wasichana wangu wa zamani 'hawatoki' sokoni?
 
Au baada ya kupigana chini, hawakupata Mcharo Mtamu kama mimi na wanaendelea kusaka?
Au wanasubiri wakijipa moyo kwamba huenda I will come back one day,
Au labda niliwaachia nuksi baada ya kutemana nao?

Kwa kweli ma ex wangu walikuwa ni watu wema, sema ndio ile Mwenyezi Mungu hakupenda kuhitimisha penzi letu kwenye ndoa na mahusiano kuvunjika. Lakini kutoka moyoni huwa nawaombea ma Ex wangu wapate waume bora. Sasa naona kama vile maombi yangu hayapati majibu fasta fasta.

Wana JF, naombeni mnijuze kwa nini ma ex wangu 'hawatoki' sokoni?

Hebu muulize mkeo kama ma-ex wake woooote wameoa mkuu....!..hapo kidogo utapata ahueni
 
Mmh!!..jamanii,,,haya maandalizi mema ya pasaka!!
 
Walikuambia wanahitaji ndoa? Wengine ni watu wa kula raha tu ujue!!!!
 
Hebu muulize mkeo kama ma-ex wake woooote wameoa mkuu....!..hapo kidogo utapata ahueni

We jamaa ni genius sana, leo ulitakiwa ukapate kinywaji bardii katika hoteli yenye hadhi ya nyota tano
 
Nimekuwa nikijiuliza sana hili swali bila kupata majibu.
Je nilikuwa natoka na ma girlfirend wasio na viwango vya uzuri na u wife materials?
Au baada ya kupigana chini, hawakupata Mcharo mtamu kama mimi na wanaendelea kusaka?
Au wanasubiri wakijipa moyo kwamba huenda I will come back one day.
Au labda niliwaachia nuksi baada ya kutemana nao?

Kwa kweli wasichana wangu wa zamani walikuwa ni watu wema, sema ndio ile mwenyezi Mungu hakupenda kuhitimisha penzi letu kwenye ndoa na mahusiano kuvunjika.

Lakini kutoka moyoni huwa nawaombea msichana wangu wa zamani wapate waume bora. Sasa naona kama vile maombi yangu hayapati majibu fasta fasta.

Wana JF, naombeni mnijuze kwanini wasichana wangu wa zamani 'hawatoki' sokoni?
Wewe Mbona hukuwaoa?
 
Walikuambia wanahitaji ndoa? Wengine ni watu wa kula raha tu ujue!!!!
kuolewa sio lazima.ila inaongeza heshima..ndoa ina hadhi yake..haijalishi umeolewa na kigogo au mkulima
 
Hata mkeo alikuwaga ni msichana wa mtu, labda kama umemuoa bado bikra.
 
Uliwapelekesha sana sasa wanaogopa waliolewa hiyo migwaride watakufa nayo maana Utakuwa kola Siku. Mtu mmoja aliwahi kuniambia "kumbe walioolewa wana taabu sana. Ndio mchezo wa kila siku unaoniacha hoi wa siku moja moja, na ikiwapo kila siku inakuwaje?" Hajaolewa mpaka leo. Anataka Uhuru kamili
 
unawafatilia wa nin c ndo ujinga huo so hata ukishauriwa utawasaidiaje
 
We unamkosi ambao unawaachia.ndo maana wanaonekana kama vyombo vya jikoni na c vya kabatini.
 
We utakuwa una gundu sio bure.

Wenzio tumepewa majina "watakasa nyota",maana kila nnayemteremsha pichu lazima aolewe.

Pole sana
 
Back
Top Bottom