Fake but beautiful VS Ugly but natural

Fake but beautiful VS Ugly but natural

HAMY-D

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2011
Posts
7,146
Reaction score
3,830
Huu uzi nimeuweka mahususi kwa ajili ya wanaume kuwaeleza wanawake ukweli kuhusu tunavyochukulia muonekano wao.Kwa kawaida wanawake wanaweza kuwa natural kwa maana hawaongezi chochote kwenye miili yao.

Hii inajumuisha haweki mawigi, hapaki malip shine, hadungi sindano kwa ajili ya kunenepesha maumbile yake ya kifuani au pale kati.

Kwa upande mwingine utakuta wanawake wako bize kujiongeza vitu vya ziada ili tu aupate ule uzuri na kumfanya apewe full attention na wanaume.

Since mimi mwenyewe ni mwanaume, naanza kwa kuchangia mada kuwa ni vyema wanawake muache hayo mambo ya unatural kama unajijua you're not born beauty.

Ni bora tu unidanganye kwa vitu fake lakini vikufanye uonekane mzuri. So I go for "Fake but beautful".
 
Patient zero ama patience zero?
Hakuna mwanamke mbaya, asikuambie mtu. Kuna couples unaziona you cant even believe your eyes
 
Mkuu,kwanza tambua kuna tafauti kati ya Urembo na Uzuri...na Mrembo na Mzuri. Amini huwezi kuitwa mwanamke mrembo kama hauna baadhi ya urembo kwenye mwili wako. Ila unaweza kuitwa mwanamke mzuri kulingana na shepu au muonekano wako wa sura. Ila ukiwa mzuri alafu ujipangilie urembo mzuri...hapo ni lazima uitwe mwanamke Mrembo.
 
Patient zero ama patience zero?
Hakuna mwanamke mbaya, asikuambie mtu. Kuna couples unaziona you cant even believe your eyes

Siyo kweli,wanawake wabaya kwa sura na shepu wako wengi sana ila wanasitiliwa na baadhi ya mavazi na urembo.
 
Mwambie huyo, uzuri ni 'package', anaangalia angle moja tu.......atumie 3D.
Kama mimi, nimependa (napenda) namna unavyoji-position kama hapo kwenye avatar. Basi miye uzuri/urembo huo
napata faraja na akili yangu yaenda mbali miaka dahari.

Am humbled.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom